I Love you Godbless
@godbless_lema1.3M followers
102,348 views
36 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@EBrickmans
Wakati unaongea haya, kuna mwenzako mmoja alikuwa ameketi pembeni yako amevaa miwani anakuchora Tu kijana wa watu unavyohangaika. Brother wewe ni wa Moto sana, ni kiongozi na Una uchungu saana na taifa hili 💯💯💯
45 likes

@SilasJoel126118
Tunaumia sana kuona hili bunge la sasa halizungumzii hoja za wananchi hata kidogo. Huu mwaka huu🔥
19 likes

@joemyoya
Bro katika Hawa waliokuzunguka naona umebakia mwenyewe tu, Mungu aendelee kukupigania kamanda. jipe Moyo kamanda
18 likes

@hussen_mbaga
Kaka lema msamehee uyu ni familia
14 likes

@godbless_lema
Yuko huru na nime m follow!!
39 likes

@hussen_mbaga
Asante kaka ni vijana wetu wakizingua wape makavu
6 likes

@mhabukat
Unakiona mbali sana kaka Lema 🙌🙌🙌
12 likes

@ChiefKipengele
Enzi hizo bunge lilikua kama kwa mkapa hatoki mtu🤣
10 likes

@Collins071188
Kazi kuvaa ushungib kumbe sio mzalendo mvunjifu wa katba mtekaj mlev ofisini mwiz
10 likes

@MukhtarDahran
Nisemehe bure kipindi cha Ubunge wako nilikuwa sikufatilii
10 likes

@LisheAid
Mwanangu atakayezaliwa August Mungu akipenda nitamuita jina la Godbless
8 likes

@dremontanna8
Kwani shida nini mpaka mnaombaga utaratibu wa nini haya sasa Bunge limevunjwa ombeni huo utaratibu mtu akianza kuongea tu mnaanza kusumbua🗑️
8 likes

@LogicAnalyst_
Mlikiwa mnaelekea wapi mkuu kwa hii private Jet? Kumtafuta Mawazo na Ben Sanane?
8 likes

@HERODE__LEO
Nabii wa kweli ni yule nayetabiri jambo kuanzia mwaka mmoja mbele... Lema ametabiri miaka 8 iliyopita.... Yanatimia Leo 2025
8 likes

@missth16
Godbless! Aliekupa hili jina aliongozwa na Mungu
6 likes

@MkwelengalaC
Ulisema kweli kaka LEMA leo ndo yanajitokeza haya nzuri zaidi inawatafuna wenyewe walioipigia chapuo!
5 likes

@michaelgeofrey6
Ulitumia akili kubwa saana ktk kulipigania taifa lakini hawakuona umhimu wa maneno yako leo hii kila kitu kinauzwa kisa raisi ana power kuzidi kila kitu Mungu azidi kukurinda @godbless_lema
4 likes

@MsafiriTraver
Namwona Yuda pembeni yako hapo kulikuwa nawatu hatari sana ndani ya CDM.. #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection #TutashindaTu
4 likes

@hataweweunaweza
Mungu alikuonesha, watu hawakuona mbele
3 likes

@Joblube4135261
Bandari ishaenda kwa wajomba🫢
3 likes














