Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Ila nanga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ

24,982 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

4 Comments

Nassib Mkomwa's profile picture
Nassib Mkomwa1 year ago

๐Ÿ—ฃ"Changamoto ni sehemu ya maisha yetu na kuhusu Endorsement mamlaka ndio itatoa maelezo unajua mwanzo Endorsement ilikuwa inatolewa kwa mtu zaidi ya mmoja ila sasahivi mambo yamebadilika Chama cha soka ama klabu kikitoa Endorsement hakitoi tena kwa mtu mwingine."- Ally Mayayi.

Zee la Vyeti (PhD)'s profile picture
Zee la Vyeti (PhD)1 year ago

Kunazidi Kuchangamka

FELIX JASON's profile picture
FELIX JASON1 year ago

Mgombea wa kiti cha Urais wa TFF, Richard Shija amesema atampeleka kwenye kamati ya maadili na kamati ya Rufaa Rais wa TFF, Wallace Karia. "Rais aliyepo madarakani anapochukua Endorsement zote maana yake anazuia wagombea wasiingie kwenye uchaguzi" ๐ŸŽ™๏ธ Richard Shija

Simba Sports Club's profile picture
Simba Sports Club1 year ago

Viingilio vya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu tukiwa wenyeji. #NguvuMoja

Related Videos