Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Ila Wadudu nyie!!😂😂
58,272 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Mighovor 1 Jahr
Mungu hii michezo hua anaipenda sana na hua anajibu mapema sana

Solar Heavyvor 1 Jahr
- The Kingdom

Immanuelvor 1 Jahr
Vitu asivyotaka mwenyez mungu hivi

Masakivor 1 Jahr
Kabisa yani broo

The Joker 🤡vor 1 Jahr
@yhy_kp unajua kuna mstari mwembamba sana almost invisible unaotenganisha kati ya ujanja na ushamba?

𝐏𝐞𝐩𝐩𝐢𝐧𝐨 𝐘𝐮̂𝐬𝐢𝐯vor 1 Jahr
MBONGO MPE HELA TUU

Joseph Munisivor 1 Jahr
kaskazin hajawai kutoka fala ila ......🙌🏾 hizi ni kufru kabsa

Mnyama MKALI👹vor 1 Jahr
Nilijua arusha ni mji wa wajanja tupu kumbe kuna mapoyoyo kama hawa

luqman mohamedyvor 1 Jahr
Shared Pyschosis..Maji na Juice zote zinazoenda hio mitaa zinapaswa ziwe na Haloperidol kupunguza vichaa.

Girbet kimario.vor 1 Jahr
Aya bhana mungu kawasikia maombi yaho atawajibu

F A K H E b o m avor 1 Jahr
Huu uqma haukuwepo chuga hadi alipokuja uyo mjomba
