Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ila Wazazi 😂🙌
34,897 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Ika Multistore1 yıl önce
nlitaka kushangaa mbona anataka kulipa haraka hivyo kumbe anafata attachments 😂😂

Solar Heavy1 yıl önce
- All I Knew

Most Wanted JR1 yıl önce
Tunasubili hizo picha wakati anaumwa tetekuwanga nazo tuzione🤣🤣🤣

chogo1 yıl önce
😂😂😂😂😂 hiii vita unatamani umroge mzazi afe ila ndio haiwezekani maumivu yake huwa ni makali mno

Son of Abraham1 yıl önce
🤣🤣🤣ya tete kuwanga

Mr.Eagle 🦅1 yıl önce
Aise kwa wazazi ukitoa usitegemee kurudishiwa, kwanza mshukru mungu kama wazazi wameomba mdaada kwako na wakapata

𝕺𝖇 💊1 yıl önce
Ila sikuku za watoto TAG 😂😂

Black Jesus🇷🇼🇹🇿1 yıl önce
Basi bwana si akaniambiaga nimkope 1m Wakat wa kudai sasa acha tu 😂

MBAVU ZA MMBWA 🐕🏹1 yıl önce
Tetekuwanga🫵🫵😁😁😁

Wingodd Urassa1 yıl önce
Duu Nimecheka mbaya

BekaBOY 0.11 yıl önce
Amesahu moja ambayo ulinusurika kufa 😁😁😁🫵🏽
