Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Inasikitisha sana aiseee 🥹

21,992 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

22 Kommentare

Profilbild von Shayo
Shayovor 2 Jahren

Narudia tena...kuna huyu mwamba na Godbless Lema. Hawa ni akida Mfalme Daud. Hata uwafiche wapi wataitwa mmbele tuu

Profilbild von bena
benavor 2 Jahren

Mungu wangu, yaani askari PUMBAVU sana

Profilbild von kalenga
kalengavor 2 Jahren

Hapo wana kesi ya kujibu maana huo ni udhalilishaji 🙆

Profilbild von KYOMA
KYOMAvor 2 Jahren

Huyu pembeni ni dada ako ?

Profilbild von Hatibu Hamisi
Hatibu Hamisivor 2 Jahren

Tii sheria bila shuruti

Profilbild von Hatibu Hamisi
Hatibu Hamisivor 2 Jahren

Si alikua anapimana ubavu angetulia aende unadhan yangemtokea yote hayo

Profilbild von Byser💧
Byser💧vor 2 Jahren

Hilda me napendaga watu kama wewe hivi. May I have dinner with you, by tomorrow 🌙

Profilbild von ROLEX10
ROLEX10vor 2 Jahren

Duuh

Profilbild von Rodrock
Rodrockvor 2 Jahren

Ukiuloza sababu ya kwenda uchi unaweza ukatukanwa apa.

Profilbild von Abro Tips
Abro Tipsvor 2 Jahren

Aiseee

Profilbild von Kadogo551
Kadogo551vor 2 Jahren

Hawa majangili wanaotutawala mwisho wao unafika Ewe Muliro ukiyekubali kutumiwa na majambazi ya ccm kuna siku inakuja nawe utajuta “BWANA ataikata midomo yote ya kujipendekeza, Nao ulimi unenao maneno ya kiburi;” Zab 12:3 SUV

Profilbild von PAPA G
PAPA Gvor 2 Jahren

Nakuona hapo unawakilisha.

Profilbild von Matovo
Matovovor 2 Jahren

@HildaNewton21 we huogopi kukamatwa? Na kuwachamba kote huko nakuona Uko pembeni ya boni hapo mahakamani

Profilbild von BRYCESON G.URIO
BRYCESON G.URIOvor 2 Jahren

Nafikiri kwenye kuminyana na polisi ndo ikawa hivyo ila ilimsadia watu wengi kuona tukio vinginevyo angekubali kikondoo ingekuwa kama ya kina SOKA NA WENZIE!!!

Profilbild von JAMES MASHAKA
JAMES MASHAKAvor 2 Jahren

Hapo uko sawa

Profilbild von Mnigajia
Mnigajiavor 2 Jahren

Inatia hasira asee

Profilbild von kikombe
kikombevor 2 Jahren

Kwahiyo ulinyanduliwa huko ulivyoenda uchi

Profilbild von Mayoka Paulo
Mayoka Paulovor 2 Jahren

Hilda yuuleree

Profilbild von immortal joe
immortal joevor 2 Jahren

Nakuona kwa pembeni pale dada hilda

Profilbild von J. M. K
J. M. Kvor 2 Jahren

#DrSSH2030 🇹🇿 🇹🇿

Profilbild von Mteule
Mteulevor 2 Jahren

Nakuona dada Hilda hongera

Profilbild von kuringe sawere Timbiri
kuringe sawere Timbirivor 2 Jahren

Nakuumiza mno💔

Ähnliche Videos