Interview imekua kubwa kwake😂😂
@AmRosalinee13K followers
50,065 views
34 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@INVICTVSmp
Wanapitisha sheria za ajabu alaf wanajifanya eti kwa mujibu wa sheria. Haya maelezo katoa ni pure bullshit
17 likes

@TravisKitengooo
Moja ya watu Wasenge ni huyo Kuma
14 likes

@AmRosalinee
😂😂😂

@Liprofesa
Kodi zote zinaainishwa na finance act ya mwaka husika(ambayo basically huwa inaAmend sheria nyingine) Hata kama ni wewe(au mimi) ile professionally speaking, usingeweza kujibu zaidi ya apo Sana sana labda upige siasa na kuzurura huku na kule tu but ukweli wa hilo swali liko hivyo
11 likes

@Themandevut73r
Tafta bandari yako Either hamia burundi
6 likes

@AmRosalinee
😁😁

@kimbungakimbu
@kilepi_tweve Wanamuone, hana uwezo wa kujibu swali hilo!
5 likes

@_alexer09
Off course amejibu sahihi kabsa kuwa hio ni sheria
4 likes

@NesiMkunga
huyu hajajibu swali bado
3 likes

@Pile_Driven
DEI workers
3 likes

@MsinguziEthan
Kabisa hajajibu swali kabisa
3 likes

@DavisOpiyo38308
Yeye mwenyewe aelewi anaishia kusema sheria sheria
2 likes

@crispaseve
Amejibu vyema. Ni sawa na kumuuliza mchungaji/sheikh anathibitishaje Mungu yupo? Hawezijibu nje ya biblia/quran ambayo ndiyo muongozo wake.
2 likes

@Valeriaa08i
Sasa atajibu nini hapo na mbunge wako ndie aligonga meza kupitisha
2 likes

@kingjames_tz
@am_gudie Hata yeye hana majibu zaidi ya waliotengeneza hizi kitu(Gavooo) yeye ni msimamiaji tu😁
2 likes

@AVEZRAJA
Umeshawahi kuona kazi za connection ndo hii sasaa
1 like

@GiftMan4
Kimoyo moyo anaona aibu na jibu lake!!
1 like

@Scoorboy_Tz
Sasa hapo kajbu nin😡😡😡
1 like

@Abdallahh_mau
Aibuuuuuu
1 like

@kimbungakimbu
@kilepi_tweve For her!
1 like











