Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

26,183 views • 1 year ago •via X (Twitter)

11 Comments

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿's profile picture
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿1 year ago

Move on fam… Yano toka uhame hauna agenda nyingine tofauti na kuisema CHADEMA! Mbowe ashatoka- tangazeni sera majungu haya muwaachie wanwake wa VITI MAALUM

Mboni's profile picture
Mboni1 year ago

Wee jamaa upo huku au kule? Unafanya mipango gani na CC ya CDM hapa👇? Unauza siri za chama chetu CCM nini?

Kasongo's profile picture
Kasongo1 year ago

Katiba ya CCM ilivunjwa kisa Royal Family ilikula pilau ya Ikulu wakasema inabid uendelee Yale maamuz sio ya Wanachama ila ni familia tu moja iliamua. Wewe unapongeza kama zuzu. CCM ni taka. Mungu huchukia Dhulma, Yeye huwatawanya wenye Kiburi na kuwaangusha wafalme vit vya enzi.

Nehushtan's profile picture
Nehushtan1 year ago

🤔

Solar Heavy's profile picture
Solar Heavy1 year ago

take the journey

Stranger's profile picture
Stranger1 year ago

Sura yako na maneno yako na moyo wako, havirandani pole sana, Mchungaji msigwa ungerudi tu na Ungepokelewa

JPEGMAFIA's profile picture
JPEGMAFIA1 year ago

Na wewe umekua chawa tena mkuu

Kombora la Putin's profile picture
Kombora la Putin1 year ago

Wenzako

Malima Chacha's profile picture
Malima Chacha1 year ago

This is Peter Msigwa smart enough, current enough👏

Rweyemamu Rufulano's profile picture
Rweyemamu Rufulano1 year ago

Huko ulipo siyo sahihi na unajua siyo sahihi. Aliyekutendea ubaya unajua tayari Wananchi wameisha muadhibu. Tafadhari Mheshimiwa Rudi Nyumbani. Wana Iringa wanakuhitaji ukiwa umevaa sare za ukweli, Haki na uwajibikaji .

Shaban Hamis Kalekilima's profile picture
Shaban Hamis Kalekilima1 year ago

Peter utabaki kuwa Msigwa tu tunaekujua. Bado hujazeeka kabisa kusema unastaafu siasa za harakati na hoja. Nawajua wanasiasa wachache mno hapa Tanzania wanaweza kufika level yako ya ujenzi na utetezi wa hoja. CCM hauna hiyo platform kaka lazima tu utakua unajiona hapo eneo sahihi

Related Videos

Kati ya mambo yaliyoniumiza sana nilipokuwa ugenini, moja kubwa lilikuwa ni wimbo wa “Aiyaiya CHADEMA.” Watu wengi hawajui kwamba wimbo huo niliutunga mimi mwenyewe. Mwanzoni haukuwa wimbo wa kitaifa wa chama; uliandaliwa mahsusi kwa ajili ya kampeni yangu ya ubunge wa Iringa Mjini mwaka 2020. Niliwaomba vijana wa kanisani kwangu wauimbe, na kwa pamoja tukaunda wimbo uliobeba matumaini na ari ya mabadiliko kwa wananchi wa Iringa. Sikutegemea hata kidogo kwamba ungependwa kwa kiwango kikubwa namna ile. Polepole ukaanza kuvuka mipaka ya jimbo letu. Baada ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuteuliwa kuwa mgombea urais wa CHADEMA, baadhi ya viongozi na wanachama waliniomba niuongeze ubora wake ili uwe wimbo wa kitaifa, ukibeba majina ya Mwenyekiti wa chama wa wakati huo, mgombea urais na mgombea mwenza. Ndipo wimbo ukapata maisha mapya. Ukawa zaidi ya wimbo wa kampeni za Iringa Mjini; ukawa sehemu ya kumbukumbu na hisia za harakati za Watanzania wengi. Nilipokuwa upande mwingine wa kisiasa, kila nilipousikia wimbo huu, niliguswa sana. Haukuwa tu muziki; ulikuwa ukinikumbusha safari niliyopitia, watu tuliotembea pamoja, na ndoto tulizowahi kuziamini kwa moyo mmoja. Ilikuwa ni hisia ambazo ni vigumu kuzielezea kwa maneno. Leo ninafurahi kuona kwamba wimbo huu haujapoteza mvuto wake. Bado unaimbwa. Bado unawagusa watu. Bado unaishi mioyoni mwa wengi. Kwangu, hilo ni ukumbusho kwamba kazi inayofanywa kwa moyo wa kweli inaweza kuishi muda mrefu kuliko mazingira yaliyoiunda. Nilipoutunga ulikuwa wa Iringa Mjini. Leo umekuwa sehemu ya historia ya harakati za wengi. Na hilo ni jambo la kumshukuru Mungu.

Peter Msigwa

43,516 views • 1 month ago