Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ishukuriwe teknolojia!

30,735 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

30 Kommentare

Profilbild von K-SO
K-SOvor 1 Jahr

Majibu ya mahojiano ya jana ya Kigaila kuna namna CHADEMA ilikuwa inahadaa watu.Hawa G55 ni mfereji umekatwa na wanachuki za wazi kwa uongozi mpya si sababu wanazosema.

Profilbild von Field Forester
Field Forestervor 1 Jahr

Ukitaka kujua kichaka kina nyoka au laa choma moto, watatoka tu

Profilbild von muu09
muu09vor 1 Jahr

Sijui ni kwanini jitu likiwa lijinga na lipumbavu hadi Sura yake inaonesha hivyo

Profilbild von Alexanderkrypt
Alexanderkryptvor 1 Jahr

Huyu mzee naona kama anajibana kasema swala la reform linahitaji kukaa na serikali wao walivokaa nao.ilileta matokeo gani kwenye sekta ya reform?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Wanasiasa wengi wako after money huo ndo ukweli

Profilbild von Uba makame
Uba makamevor 1 Jahr

Kajibu vizuri

Profilbild von Sobo๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Sobo๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 1 Jahr

Halafu tuzo anapewa mvaa makapeloo! Kama Nelly

Profilbild von kmtundu91
kmtundu91vor 1 Jahr

Afadhali odemba umetusaidia kumvua nguo huyo ni ndugu yangu lakini ni mpuuzi sana Bora anganyamaza tu uroho wa madaraka

Profilbild von Joseph Wangwe
Joseph Wangwevor 1 Jahr

Mpk kacheka, njia ya uongo ni fupi sana

Profilbild von Chakubimbi ๐Ÿฅธ
Chakubimbi ๐Ÿฅธvor 1 Jahr

The way he spits nonsense and keeps repeating the same thing is maddening.

Profilbild von Daniel Samson
Daniel Samsonvor 1 Jahr

Aliweka VAR Jana alimbana mnoo

Profilbild von Ninja
Ninjavor 1 Jahr

Hizi takataka za @freemanmbowetz ni hatari sana ktk taifa

Profilbild von goddieM
goddieMvor 1 Jahr

Sema mwamba kajibu vzuri na majibu yake yana mashiko

Profilbild von Misana Msese
Misana Msesevor 1 Jahr

Huyo hawezi rudi hapo

Profilbild von Sajo Zablon
Sajo Zablonvor 1 Jahr

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von shizo
shizovor 1 Jahr

Mzee rungwe kwakweli inabidi afanye mpango wa kutembea na muhuri wa chama kila sekunde na asirndekeze kula ubwabwa hawa jamaa watawapeleka wake zao bungeni.

Profilbild von Moja Moja
Moja Mojavor 1 Jahr

Ngumi za utosi tu

Profilbild von GPS
GPSvor 1 Jahr

Mamaeee! Ushauri. Fungua akaunti iite "ASANTE TEKNOLOJIA"

Profilbild von ๐“œ๐“๐“ ๐Ÿ—ฝ
๐“œ๐“๐“ ๐Ÿ—ฝvor 1 Jahr

Hapo moyoni unakuta kajisemea Odemba msee nini!

Profilbild von __.dzan.g
__.dzan.gvor 1 Jahr

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ uyu mzee ni mnafki sana

Profilbild von GRMNS
GRMNSvor 1 Jahr

Odemba Ana masiala

Profilbild von MWANASHERIA
MWANASHERIAvor 1 Jahr

Usimwamini sana mtu anaye ongea na Mishipa ikimtuka, utalazimishwa uongo uonekabe ukweli

Profilbild von Erasto Lashau
Erasto Lashauvor 1 Jahr

"kwanza huyu mtu unamfahamu"๐Ÿ˜…

Profilbild von Haki Uinua Taifa
Haki Uinua Taifavor 1 Jahr

Jamani si mumewaona mamruki hao

Profilbild von sibababagi
sibababagivor 1 Jahr

Mpuuzi mkubwa mmoja huyo

Profilbild von Senator
Senatorvor 1 Jahr

Zambi ya Usaliti mbaya sana

Profilbild von @Kyakaraba
@Kyakarabavor 1 Jahr

๐Ÿค”

Profilbild von Malcom
Malcomvor 1 Jahr

Marehemu Ruge alisema, muogope Mungu kisha iogope teknolojia.

Profilbild von Masoud
Masoudvor 1 Jahr

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hio ndio siasa sasa

Profilbild von Svetlana (Tayanah) Tibenda
Svetlana (Tayanah) Tibendavor 1 Jahr

VAR lol! Kwani G55 ni chama?

Profilbild von Tingo
Tingovor 1 Jahr

Dah kasonko huyo

ร„hnliche Videos