ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
๐๐๐๐๐๐๐ Ishukuriwe teknolojia!
30,735 ๆฌก่ง็ โข 1 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
30 ๆก่ฏ่ฎบ

Majibu ya mahojiano ya jana ya Kigaila kuna namna CHADEMA ilikuwa inahadaa watu.Hawa G55 ni mfereji umekatwa na wanachuki za wazi kwa uongozi mpya si sababu wanazosema.

Ukitaka kujua kichaka kina nyoka au laa choma moto, watatoka tu

Sijui ni kwanini jitu likiwa lijinga na lipumbavu hadi Sura yake inaonesha hivyo

Huyu mzee naona kama anajibana kasema swala la reform linahitaji kukaa na serikali wao walivokaa nao.ilileta matokeo gani kwenye sekta ya reform?๐คฃ๐คฃ๐คฃ Wanasiasa wengi wako after money huo ndo ukweli

Kajibu vizuri

Halafu tuzo anapewa mvaa makapeloo! Kama Nelly

Afadhali odemba umetusaidia kumvua nguo huyo ni ndugu yangu lakini ni mpuuzi sana Bora anganyamaza tu uroho wa madaraka

Mpk kacheka, njia ya uongo ni fupi sana

The way he spits nonsense and keeps repeating the same thing is maddening.

Aliweka VAR Jana alimbana mnoo

Hizi takataka za @freemanmbowetz ni hatari sana ktk taifa

Sema mwamba kajibu vzuri na majibu yake yana mashiko

Huyo hawezi rudi hapo

๐๐๐๐

Mzee rungwe kwakweli inabidi afanye mpango wa kutembea na muhuri wa chama kila sekunde na asirndekeze kula ubwabwa hawa jamaa watawapeleka wake zao bungeni.

Ngumi za utosi tu

Mamaeee! Ushauri. Fungua akaunti iite "ASANTE TEKNOLOJIA"

Hapo moyoni unakuta kajisemea Odemba msee nini!

๐๐ uyu mzee ni mnafki sana

Odemba Ana masiala

Usimwamini sana mtu anaye ongea na Mishipa ikimtuka, utalazimishwa uongo uonekabe ukweli

"kwanza huyu mtu unamfahamu"๐

Jamani si mumewaona mamruki hao

Mpuuzi mkubwa mmoja huyo

Zambi ya Usaliti mbaya sana

๐ค

Marehemu Ruge alisema, muogope Mungu kisha iogope teknolojia.

๐๐hio ndio siasa sasa

VAR lol! Kwani G55 ni chama?

Dah kasonko huyo
