跳过导航
It is good to be home!
0:00 / 0:33

It is good to be home!

Peter Msigwa

@MsigwaPeter2.5万 位关注者

在 X 上查看
885 个赞下载原帖

11,277 次观看

It is good to be home!

25 条评论

评论来自 X (Twitter) 上的原帖

  • Baba Voss 的头像

    @chaff12346788

    CHADEMA chama CHA WATANZANIA ♥️♥️♥️🇹🇿😘🙏😘🙏

    2 个赞

  • Rasul Kavishe 的头像

    @RasulKavishe

    @OleMtetezi Nimekutana na gari ya matangazo ya mkutano wa cdm manyoni singida wananchi wanashangilia kusikia tu kua kuna mkutano...haki ya Mungu nashudia jila lake kwa kinywa changu.

    2 个赞

  • Casmil Murengezi 的头像

    @csmil0014

    This is where you belong mchungaji. Thank you for your U-turn 🙏

    2 个赞

  • japhet mmbaga 的头像

    @kighera50

    @mackphason Na ukome kujiendea kama kishada kilichokata Uzi.

    2 个赞

  • kamwene 的头像

    @MwaminiMakela2

    Kaka msigwa wana wa iringa walikumis sana nadhani umeona mwenyewe nikiasigani wanakuhitaji wewe nimtu mhimu sana ukweli waliumia sana lakini leo umewafuta machozi yao furaha yao imerudi

    1 个赞

  • Msigwa Mpenda. 的头像

    @MsigwaMpenda

    Organic Love from the people

    1 个赞

  • 𝐷𝑟. 𝑅𝑎𝑚𝑜𝑛 𝑆𝑎𝑙𝑎𝑧𝑎𝑟 的头像

    @drsalazarRamon

    Mchungaji, kama haujajifunza kwa hili....Never shake again, make sure hauna agenda ya siri ya mbogamboga...we need a pure you!

    1 个赞

  • Nzengeli's sister 💛💚 的头像

    @mayaijumla

    Ujitafakari sana hasa mbele za Mungu! Ulichokifanya kinahitaji toba wewe na Mungu.

    1 个赞

  • Comrade93. 的头像

    @stanleysamwel22

    Hongera sana mkubwa. Uamuzi wako ni sahihi na Mungu akutangulie. Haitakuwa safari nyepesi lkn nina Hakika Utafika. Rafiki yako TAL atakuwa ana amani kurejea kwako.

    1 个赞

  • Tupinge.Udikteta Williams Joe 的头像

    @joeinberlin2412

    Safi sana kamanda. Nyumbani ni nyumbani tu

    1 个赞

  • Dan Dizzo 的头像

    @DanielMwanga20

    Hila ulikua umezengua Sana na kupoteza karia yko kitendo cha kwenda chama cha majambazi na mauwaji kiliumiza weng sana

    1 个赞

  • Levocatus Mganga 的头像

    @dna_bongo

    @MwaminiMakela2 Hii love ni noma sana ,,hakuna aliye lipwa wala nini ni pure love tu kwako,,shukrani nyingi kwa wana Iringa🙏

    1 个赞

  • suldinho 的头像

    @suldinho_

    Wapenda haki hatuna shida kabisa ila tatizo lipo kwenu baadhi ya viongozi mnaopenda kujiangalia ninyi kwanza kuliko sisi tuliowapa dhamana kwenye uwezo wenu wakutusemea na kupita mbele, ukweli ni kwamba uliumiza hisia za watu wengi ulipoondoka ulishangaza tuliokuamini.

    1 个赞

  • Rasta 1 的头像

    @RastripleJ

    Hapa Msigwa umetushinda aisee, hakuna kitu kinazidi apology ya kweli kutoka moyoni, hatukulaumu na tunakuombea Mungu aendelee kukuimarisha.

    1 个赞

  • Bin Kombo 的头像

    @BinKombo3

    @KasimbaNolasco1 Democracy ni mavi kweli Lol

  • Bandura, (2023) 的头像

    @Bandura2023

    Pole sana

  • Medrick mapembe 的头像

    @MapembeMedrick

    Utapeli

  • Mwl.Keberenge wa Nyasaricho 的头像

    @mwlkeberenge

    Good choice 👌

  • Luteni Kanali 的头像

    @kenycrux

    Hapo mjini mkuu, unakubarika sana. Nyie ndo sababu ya chama cha kijani kuweka vikao mpaka usiku wa manane.

  • Rashid Mugheiry 的头像

    @mugheiry_rashid

    Jamaa wanakuzumu tu