Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Loading video...
Video Failed to Load
Jamaa anamshindanisha Mungu na Shetani dah ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
28,909 views โข 2 days ago โขvia X (Twitter)
23 Comments

Hayo makanisa yatakuwa ya kishetani kuruhusu kuchezewa hivi

Nashangaa hata wanaomsikiliza pia ni wajinga na mazezeta

Akili kumkichwa ๐ง

Huyu jamaa ni mjinga kuliko mjinga

Kufuru

Viongozi wa dini wanaonyamazia huu ujinga ndo wapuuzi

Huyu jamaa ni mpumbavu haijawahi kutokea.

Kwa hiyo anaiombea Arusha ipate ukame? Chugastan mshitukieni huyo anayewaombea njaa. Na muelewe kuwa hakuna maombi yanayoweza kubadilisha hali ya hewa. Anatakiwa awaandae kukabiliana na hali hiyo mbaya ya hewa ili msipate madhara makubwa.

Hawa kujiamini kumepitilizaa

Huyu Mungu kesha mwondolea kibali anajimaliza kwa kinywa chake mwenyewe bila kujua hajui anachokiabudu ni kipi

Hivi ni Elininyo au El-Nino....

Duuuuh

kuweni makini kuna namna Mungu anataka kutusaidia jambo letu

Mwambieni Mungu hajaribiwi na hafananishwi.

...ila nyie makristo kama wote wajinga wajinga tu.......Sasa apo Shetani alieshindanishwa ni yupi..?........

Huyu akipata nafasi ya kufungua domo lake huwa anatoa mafunza.

Kanisa kuu la kiserikali tanzania(kkkt)

Hapa ndo unajua tapeli na mtu anaejua biblia!

@MarekaMalili

huo mdomo mbona kam una shida ๐ ๐ ๐

Majivuni yatampeleka shimoni.

Hivi huu si msiba?

Huwa hili ni zezeta
