正在加载视频...
视频加载失败
Jamaa kaongea vizuri
10 条评论

Son of Kilimanjaro🇹🇿1 年前
Ni upuuzi kuzuia wananchi kusaidia kutoa huduma ya uokozi,hii itapelekea kupoteza uhai wa watu wengi

BIDEN1 年前
Ndo nchi yetu hiii

Geel1 年前
Jamaa anajua kuuma na kupuliza!

Mr Ngedere sgr1 年前
Kaongea kama serikali inavyotaka yaani,igombeze ila wananchi wasijue

TricyLove🦁1 年前
Huyu kaongea mengi ya msingi

BIDEN1 年前
Kabisa

Blessed Trice✝️🙏1 年前
Mungu atusaidie pekeetu hatuwezi👏🙏

BIDEN1 年前
Kabisaa

spana1 年前
Askari kakutana na burungutu la dola mamamamaamamamamamamama

Abraham1 年前
Wanna Wananchi walikuwa w a kioķoa kwa kasi kwa sababu malengo na shauku kuwapata waliochini, kikosi cha uokoaji kwanza kinaangalia usalama wao kwanza Kisha usalama wa waliochini ,kwaiyo lazima zoezi lichelewe.
