Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
JASUSI MWITU MATOPENI. 🤣
29,384 görüntüleme • 10 gün önce •via X (Twitter)
33 Yorum

Huyo MSENGE ni tapeli na BINGWA wa PLAGIARISM. Ninashangaa sana waliokuwa wananunua vitabu vyake kuhusu UJASUSI! Huyu pia kama ROLAND walikuwa ndio washauri wa Kaka yangu FREEMAN!

Aliitumia CHADEMA Kufanya Shughuli Zake Za KITAPELI Ndio Maana Mzee MBOO WE Alivyopigwa Kwenye Ule Uchaguzi YERICKO NJEGERE Aliumia Kuliko Hata Mbowe Mwenyewe.

Uwezi amini na Mimi niliingiaga mkenge nikalipia mpaka delivery mkoa huku hela yangu ningenunulia hata k vant tu

Mirija yake ilikuwa imeungana na Mbowe ndio maana anapiga sana ukunga siku hizi baada ya Lissu kupokea kijiti 😅

Nakubali 100% nilikinunua kupitia tu kidogo kumbe ni takataka tu

Itakuwa alikuwa ana google

Eti "piga kwenye namba hii" 🫣🫣🫣😂😂😂

Jasusi la kuchovya!

Now msela anasukua LC300 na ghorofa za kutoasha. It’s a life 😁

😀😀 mwizi mwizi mimi ilibaki kidogo nikinunue

Nilokinunua, nikakisoma page kama kumi nikaona kabisa nimepoteza hela yangu. Kiko dustbin kule kitambo

Winga wa karihakoo🤣🤣🤣

hana tofauti na wazee wa matreni pia

Kitabu chenye offer nyingi kila mwaka😃😃😃😃😃😃

Aiem bela wochi mai baki

@YerickoNyerereT

🤣😂

Sizani kama hicho kitabu cha yericko nyerere kina reference kama siyo Google

@themkulima

😂😂😂😂😂

Naungana na wew

@carharttix 😂😂😂watunzi mahiri

Huyo tapeli

Kajizi kale eti

Hiki kitabu nikikumbuka nlisave hela nikanunua naishiwa kabisa nguvu za kiume😎

Ana plagiarize

🤣🤣🤣

😅😅😅

Poleni mliopigwa poleni sanaa

😂😂

Sikuwahi kununua. Stori za kuokotaokota na shule ya kuungaunga

Na nyie angalieni movie muandike. @YerickoNyerereT hawa mbweha wasikusumbue jasusi

😂😂😂
