Jina la padre wake tu halijui🚮🫵
@Blessdgroovekid5.2K followers
30,796 views
41 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@MsFrancic
@kishoka_ Baba Mtakatifu wa 16???
14 likes

@BlessdGrooveKid
@kishoka_ GPT kawaingiza chaka😅
6 likes

@MsFrancic
@kishoka_ yaaaani

@onesmo_letema
Baba mtakatifu wa Kumi na sita ni Nani??
11 likes

@BlessdGrooveKid
Toleo jipya huyo
5 likes

@fido_vato
🤣🤣🤣🤣. Baba Mtakatifu wa Kumi na 16
7 likes

@BlessdGrooveKid
Huyo mpya kaka we humjui😅
3 likes

@SproMofficial
@kishoka_ hawa mazombi wameokotwa wapi
4 likes

@BlessdGrooveKid
@SproMofficail @kishoka_ Naskia UV wapo wakushato
4 likes

@simandoJr
Pentestesheni nzito "petition nzito" 😀
4 likes

@BlessdGrooveKid
😂😅
2 likes

@Dibala666
Baba Mtakatifu wa 16 ndo Nani 🤣🤣
3 likes

@mhesimhesi
Wakorinto 13 Hadi 10 sijaelewa mistari au sura zimeandikwa kwa descending order au ikoje😂😂
3 likes

@BNoventh
Baada ya kazi ni malipo 😂😃
2 likes

@BNoventh
Waromamsikitini 😂😃
2 likes

@robkidayo_
Papa akisoma hii lazima aseme " kumamake"
2 likes

@waziri3wa_wapwa
Leo imekuaje sikua online 😎
2 likes

@BlessdGrooveKid
Au ulienda kwenye press mkali?
1 like

@waziri3wa_wapwa
Vipi kulkua na ganii🥱

@bro_mselatz
Papa Leo wa 14 Kabla yale alikuwepo Papa Francis (huyu hana namba maana ndo papa wa kwanza mwenye jina hilo) Kabla yake alikuwepo Papa Benedict wa 16 ambaye alistaafu kwa kushindwa kuendelea baadae akafariki 😆😆😆 Niko namtafuta wa 16 simpati au aliye kaburini
2 likes



















