Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Jumaa Mubarak.
68,401 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 32

My father taught me how to drive a manual kutumia gari la my Babu, Landrover 109, best frustrating times of my life! Fathers & Daughters have the best bond

Every sip tastes better with The Trump Red Wave Mug. 😋 Bask in this historical moment and celebrate for FOUR MORE YEARS! Let's go! 🇺🇸 MAGA! 🔥🔥🔥

SHANGAZI ANANG'OA MIHOGO HAPO ALAFU UNAKUTA MTOTO WA KIUME UKIWEKA KWENYE D UMEMALIZA, ALFU UNAJIITA DEREVA, WE DEREVA AU DERERE.

Shangazi unasukuma Manual afu kuna wababa humu wana vitambi na hawawezi imagine 😀

Shangazi Unapiga NJITO Aaah Shangazi wewe Legend 🤗🤗

Mashallah

Umevaa earphones ya wat wa system 😁

Vunja gia 👏

Sema shangazi mtu bingwa saana, huna papara umepoaaa umepoaaaa shangazi

Unapiga gia Shangazi upo vizuri

Nakutaka na wewe inaitaka?

Please mseneeni Hilda ,,

🙏🏾🙏🏾 Amin

Shangazi ujaonekan kisutu

Shangazi mtu na nusu,anapiga gia hizo chuma huku chuga ndo za kishua sasa

Shangiz kumbe unapiga pimbo vizur Kabisa

Shangazi unapiga manual vizuri kabisaa🤣🤣👋👋

Naweza kukuo ukawa mke wangu wa pili tafadhali?

Bure kabsaa kwa kuwa bara kuna mzanzibar mwenzako yanayoendelea unaona hayakuhusu

Shanghazi unapush manual.. 👏

Shangazi MashaAllah… hapa leo nimekupenda bureee Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo la kheir unalolitaka pia akufanye kuwa mtu mwema miongoni mwa watu wema. Aaaaamin

Amin. 🙏🏾 Dua ya Kheir hii.

Mashaallah!

Nina shida namba ya Uncle Ka-Omar. Au umeifuta Shangazi?

Hilda newton

MANUAL FOREVER.hata unipe range namba E kama sio manual i will go for suzuki swift manual. wote tulioishi UK tukija tz tunashangaa watoto wa kiume na auto zao wenyewe. ndio mana used za UK mnaziogopa sabab ya mti MANUAL

Maana halisi ya Kuwa shangazi

Legend

Tangu utoke Umrah km nimeanza kukuona na ww n mtu katika watu Honestly

Fatma, nani kakurekodi hii video?

Mashallah bi mkubwa

Shangazi iyo ni manual unaendesha
