正在加载视频...

视频加载失败

48,625 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

KIJANA 的头像
KIJANA1 年前

Next President of United republic of Tanzania 🇹🇿 2025-2030. Tundu Antipas Mughwai Lissu.

Moses Mussoline 的头像
Moses Mussoline1 年前

Kula Chuma hicho kutoka Iringa

johaness 的头像
johaness1 年前

Mlete msigwaaa, mlete tapeliiii....una miezi miwili ss yakusurvive kwenye siasa....wewe ni muhuni unaishi kwakuisema cdm....hata km cdm ni matapeli ni bora kuliko masisyemu

Antigon FM 的头像
Antigon FM1 年前

Porojo tu umechuja mzee. Vyombo vya dola kwa nini havichukui hatua kama kuna ufisadi na rushwa chadema? 😅😅😅😅

Dingilai 的头像
Dingilai1 年前

Kukosa Cheo cha Uenyekiti wa chama kumekupa sana msongo wa mawazo. Ni muda tu haujafika ila unaenda kutupwa kama pedi iliyotumika. Niko hapa

kiza kinene 的头像
kiza kinene1 年前

Sasa wewe na chadema nani tapeli

Thadei Mhabuka 的头像
Thadei Mhabuka1 年前

Mzee wa vipande 30 vya fedha

mux venal 的头像
mux venal1 年前

Utapeli? Kwann ulijiunga na chama Cha matapeli, ilikuwaje chama Cha matapeli wakakufanya ujulikane Tanzania nzima hadi wakafika Bei ya kukununua , ukasahau kabisa na kuhudhuria kanisani kutwa kuiponda chadema na kusifia viongozi wa mbogamboga, Non sense

Alexander Philip 的头像
Alexander Philip1 年前

Huna utofauti na manara, mmeondoka lkn kutwa kuongelea vibaya palipowafanya mkajulikana na bahati mbaya wala hamjibiwi na hao mnaowatukana

Fred Mafuru 的头像
Fred Mafuru1 年前

wana CCM mliowakusanya hapo wanatamani kuelezwa mazuri ya kwao kuliko mabaya ya jirani zao, au wamekwambia wanataka kuhamia CDM? Kama hujui wanachotaka uliza waliokupa kipaza ili usiwapotezee muda na kuwachelewesha kudandia malori kurudishwa walikotolewa,

相关视频