Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

44,700 views • 3 years ago •via X (Twitter)

11 Comments

Dizasta Vina's profile picture
Dizasta Vina3 years ago

Audiomack - Boomplay - Mdundo - Spotify - lyrics -

BAD NUMBER🥷🏿's profile picture
BAD NUMBER🥷🏿3 years ago

Mrithi wa Theobald A. Mvungi✊🏿✊🏿✊🏿, kijiti kipo mikono salama na istoshe sanaa itakua imara kushinda miongo 10 nyumba na itakua bora zaidi ndani ya miongo miwili mbele #TheBlackMaradona

mpumelelo mpumalanga's profile picture
mpumelelo mpumalanga3 years ago

ITOSHE KUSEMA KWAMBA DIZASTA NI JINI🙌✊

Solar Heavy's profile picture
Solar Heavy1 year ago

Have you ever listened to this?

Victor Kinasha's profile picture
Victor Kinasha3 years ago

Giving this man his flowers while he’s alive. Genius

aL FakheeM's profile picture
aL FakheeM3 years ago

Kaamua kutumia nafasi alopewa na mdogo ake anaachia kazi sasa, aya mumsapot ka mlivosapot zile trak za dakika 30

Mr Joe's profile picture
Mr Joe3 years ago

Kuketi mezani kwa mazungumzo na mtu mwenye busara, lazima utakua na fikra yakinifu Black maradona ni tunu kwenye tasnia ya Hip Hop.

Goroh_M's profile picture
Goroh_M3 years ago

Broo ikiwezekana tubless na Shahidi video

Maxan's profile picture
Maxan3 years ago

Kazi nzuri bro🔥🔥,endelea kutufundisha

Kiddy11's profile picture
Kiddy113 years ago

Si mlikua mnatafuta best storyteller haya sasa🔥🔥

R.E.M.O.N.T.A.DAAH😭's profile picture
R.E.M.O.N.T.A.DAAH😭3 years ago

Hivi ndo vitu tunavyotaka mzee😂😂

Related Videos