正在加载视频...
视频加载失败
Kila mtu anakubwa wake!! 🤣🤣
11 条评论

Resident of creativity1 年前
Me nrikua nimeeda shoo nkawawasha 😂😂😂

moko1 年前
Takukuru ya kenya inameno apa atasijui takuku ru inakazi gani wanakula mishahara ya bule tu

Lebron Ronaldo1 年前
Maama yangu😂😂😂😂

Solar Heavy1 年前
got a min for a new song?

China Sourcing & Shipping Agent1 年前
Kinuthia accent ya kikale ya kuitisha hongo ilipotea - "nirikuwa nimeeda shoo" 😂

Fantastic Captain1 年前
Inaweza ikwa sio Traffic watu ambao wanavaa sare tu nakujifanya askari wa usalama balabalani sasa wameshtukiwa

Masele1 年前
@grok ni nini hii?

Magubhu Magessa1 年前
Jamaa nini kiliwakuta wazee Barabarani hawa.

T master'185🚘🏍️⛽🙏1 年前
Walikosa nini

Daud1 年前
I guess hawakua traffic 🚦 😄😄

ᑎGūGí ᗯᗩ Kᗩᖇᗩᑎᒍᗩ1 年前
Wanapokea hongo Hawa, kikosi cha kuwanasa Hawa maharamia kimeshuka ikawa mguu niponye lakini wapi, wakashuka nao moja kwa moja hadi kortini shtaka la traffic kupokea rushwa.
相关视频
6:47
Sensitive content
Kila mtu anataka kuwa...
Latto 𝕏
11,784 次观看 • 1 年前

