Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Kilio cha wanawake wazuri ๐ค๐ญ
35,747 Aufrufe โข vor 1 Jahr โขvia X (Twitter)
10 Kommentare

Waache longo longo wanawake wazuri ndio hao walioolewa shida wanadhani uzuri ni makalio na makeup au filter za snapchat

Kuna Pambo la Dunia na Pambo la Nyumba sasa unaanzaje kuoa Pambo la Dunia

Kuoa mwanamke mzuri sana ni sawa na kupanda miwa jirani na shule.

Kwa hayo majadiliano wanamzungumzia mrembo sio mzuri kwakuwa wanaume tunaowa wazuri wenye sifa alizo zitaja mwamba hapo, hao warembo ndio kwaajili ya matamanio

Mimi siwezi oa mwanamke mzuri mkuu huyo ndo mwanamke wa kuishi nae

Tatizo uzur wao unawachanganya wanashindwa kufanya mambo ya msingi badala yake wanaendekeza uzur

Kuoa mwanamke mzuri ni sawa na kupanda miwa kalibu na primary

Mwanamke mzuri ni jau sana kuwa nae anasumbua sana

Huu ndo Ukweli Ambao Wanawake baadhi yao hawapendi uwaambie

Mmh! Yaliyomo yamo

