Kishandu kazini mwanza
@munyamambogo20K followers
51,730 views
34 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@MsukumaHuru
Wanaona haliharibiki, sasa unatafutwa ukarabati wa lazima wapige pesa. Hili meli la mchongo ni mradi wao wa upigaji.
25 likes

@Ngattaboe99
Jitu la juzi Kati tu lishafail kumamake hii nchi
16 likes

@Simalikesyosa
Wanatumia Meli Mpya kufundishiana RIP Magufuli
15 likes

@chabu_2016
Mambo ya leave the world Behind yamekuja hadi Tz ๐
9 likes

@Lifan_himself
Wasukuma bhn, ety "cheki linawaka moshi mweusi"
8 likes

@MahamudHas27562
Hzo muv jenzii muache kufananisha na ukwel sasa huyu kawatch titanic tayar anataka kuona ilikuaj
7 likes

@TuheriEdward
Ndio zile zilitolewa maelekezo kuanza kufanya kazi bila uzinduzi?
6 likes

@JayUmeme
Ukute kapewa dereva boda hii
5 likes

@Eggle_Vuvu
Ufafanuzi wa msigwaa tunausubiri
4 likes

@blaque_carter
Kapteni aikuwa wanataka kutoa TITANIC part Two.
4 likes

@licayodo
Hapo itakuwa imeharibika nini? Maana moshi mweusi
3 likes

@mapendo_msaki
Hili dude mbona kama limekaa kikafarakafara sana jameni au mi ndio sioni vizuri?
3 likes

@mwlkeberenge
Msigwa uje utoe ufafanuzi
3 likes

@D54onSeT
Inasemekana kwamba Vyuma vinavo fungwa mbele ni imala zaidi na vinauwezo wa kukabili vishindo vizito.
3 likes

@askariwahovyo
Kuna yule kishandu wa polo ya. NIT
2 likes

@bartonsupremacy
Utaambiwa mwamba alikuwa amelala
2 likes

@munyamambogo
Majaribio
1 like

@bartonsupremacy
Janja nyingi lazima zisemwe
1 like

@D54onSeT
Hapo inaandikwa mamilioo ya ulekebishaji watu wanapiga hela Matatizo ndio watu wanatajilikia
2 likes

@kingjames_tz
Iyo liiiini iiiiiyo๐
2 likes













