Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kitengo cha SYSTEM 😂🫵🏾 Hii nchi kila mtu TAPELI.

402,018 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Kisheti
Kisheti1 год назад

Swali la msingi kwa Aya yanayotokea yule luteni wa miaka 24 Na uyu kitengo system SARE WANAZITOA WAPI? naona comments zote zinaongea ovyo bila kuhoji vitu vya msingi Hawa watu sare wanazitolea wapi?

Фото профиля Makanda Bara
Makanda Bara1 год назад

Hili la mwisho kasema unanichosha af anaambiwa pole mdogo wangu huyu Dada atakua katiri sio bure!!

Фото профиля Vitus Nkuna
Vitus Nkuna1 год назад

JKT -Mbeya Mafinga kaniacha na mshangao. 😁😁😁😁 bora tubeti 🤝

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

- Know Me

Фото профиля KIDUKU
KIDUKU1 год назад

Alijua Akinyoa KIDUKU Na Akikwangua Ndevu Akawa Kama ZUCHU Akivaa Na Gwanda Anakua Kamaliza Kila Kitu KUMANYOOOOKO Zake 😂😂😂

Фото профиля Bukayo shafi🇹🇿
Bukayo shafi🇹🇿1 год назад

Me jkt nimepiga kule singida chanika mkuu

Фото профиля NYANGUMI
NYANGUMI1 год назад

Kuna bro alitoka DRC akarud na t-shirt za jeshi la South Africa aaniambia chukua hizo ukivaa hawakuzingui nikamwambia Acha usenge baki nazo mwenyewe

Фото профиля WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD1 год назад

Sema jamaa kama ni mtu kweli hivi ila inakuja inakataa

Фото профиля Evance
Evance1 год назад

😀😀😀 uyu dada anayemuhoji so mtu mzuri kabisa ety "pole mdogo wangu" mwishoni akamwambia nakuchosha mdogo wangu hawa ndo wale wanaofanyaga watu wanakula doso sana jkt utasiki maafande madogo wamesema wakiwa wanakula ugali wananiona kwenye mboga😀

Фото профиля Godfrey Matinya
Godfrey Matinya1 год назад

Naona mnacoment2 ,hio video ukiiangalia vizuri utajua huyo jamaa ni askari kabisa yaan anachofanya apo anawavuruga ao maana kwanza keshaona wanamrekodi kwaio kunamambo hawezi ongea ongea2 anachofanya kuwavuruga tu😂

Фото профиля paul dicanio makoye
paul dicanio makoye1 год назад

Huyu wala sio hajui vyote anajua sema ni namna tu yakufanya hii video watu waone jinsi unavyoweza jichanganya kama sio muhusika..

Похожие видео