Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kuku makuchaa
59,206 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Mkuu Wa Kaya3 yıl önce
Huko kati huwa tunasema ukiwa battle field lazima ulinde uhai wako kwa namna yoyote... Ni kosa kubwa kufa kwa njaa wakati kuku makucha yupo

Rahma Hassani3 yıl önce
Unamuachaje kwa mfano kuku makucha

Eng. Abdoolkhery Missana3 yıl önce
Kuna kupara miwa na kupara magamba ya samaki 😂😂😂 soma kwa sauti

Rahma Hassani3 yıl önce
😂😂😂😂😂😂😂😂

lugazo3 yıl önce
Kuku makucha 😂😂🙌 everything is edible in military!

Rahma Hassani3 yıl önce
Kabisa yaani

Julius Jaji3 yıl önce
Halafu ujichanganye kitaa kupita na dem wake

Rahma Hassani3 yıl önce
Utajua hujui 😂

Justice Romanus Mlyuka3 yıl önce
Aiseee kuku makuchaaaa😆👍

Rahma Hassani3 yıl önce
Mtamu😂
