Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Kuna watu wata pinga hii.

33,222 views • 3 years ago •via X (Twitter)

10 Comments

DUM@H's profile picture
DUM@H3 years ago

Nature ya mwanamke ni selfish na ni jeuri hasa akiwa na elimu lkn ni nature ya mwanaume kutoa mwanaume kujitoa sio ombi ni wajibu wake ndio maana alimpa hawa ubavu yeye kabakia na ubavu mmoja😊

Mabuleti's profile picture
Mabuleti3 years ago

Huyu ni kati ya wadada wachache wanaosemea jambo hili bila kufichaficha

Cpt. G's profile picture
Cpt. G3 years ago

Yuko sawa. Wanawake wengi. Wabaguzi, wanajiona, wanajiskia na kusahau Kuna kesho

chabu's profile picture
chabu3 years ago

The first thing God gave a man is Love, Women came to complete a man. wanawake wengi wanafikiri wako kwa ajili ya ku compete with men na ndio maana wanaamini hawawezi kuolewa na asiye na Elimu bila kuangalia Upendo

Mpwvx_06's profile picture
Mpwvx_063 years ago

Degree mbali sana, mwanamke yupo form four halafu likizo harudi kijijini anaenda kwa ndugu Dar ila hiyo minyato sasa, smh!

Mnyamapori Africa's profile picture
Mnyamapori Africa3 years ago

Medali zinaanza kutolewa sangap??

Chaz Murimi 🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱's profile picture
Chaz Murimi 🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱3 years ago

Huyu mama yupo sahihi,wanawake hawafai

john Athanas's profile picture
john Athanas3 years ago

💯

kamongo2025's profile picture
kamongo20253 years ago

Huyu dada apewe maua yake!! Ndivo ilivyo 100% hata umchangie ada! Ni kazi bure!! 😤

Rinah ❤️'s profile picture
Rinah ❤️3 years ago

Ukweli

Related Videos