Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

215,903 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Donchi
Donchivor 1 Jahr

Nakumbuka mtu alie nisaidia kupata Kazi alikuwa dereva wa Lori,alipanga nyumbani na alikuja na godoro tu ila nilimuheshimu na alikuwa akinituma.Siku moja akaniuliza kwani umesomea Nini nikamwambia logistics.Jamaa alipiga simu moja tu kw bosi wake wa zamani ndio ukawa Mwanzo wangu

Profilbild von PHYSICS NA HISTORIA
PHYSICS NA HISTORIAvor 1 Jahr

We jamaa fanya dhambi zote wewe ni peponi tu.... Tukimpenda mwenzetu kati yetu Mungu yupoo

Profilbild von ๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ
๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎvor 1 Jahr

Haswaa

Profilbild von mafolo
mafolovor 1 Jahr

jamaa ana moyo mzuri sana ..Mungu awabariki watu kama hawa...kipengele hapo kujua kama kijana unaemleta kama hvyo atakua mwaminifu๐Ÿ˜€

Profilbild von ๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ
๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎvor 1 Jahr

Kabisa

Profilbild von Steph
Stephvor 1 Jahr

ukisikia "tuishi kama watu" ndio hii sasa! ๐Ÿ™Œ

Profilbild von โš’๏ธThor Ragnarokโš’๏ธ
โš’๏ธThor Ragnarokโš’๏ธvor 1 Jahr

Nilimchukua mmoja sokoni aje anifanyie kazi kwenye biashara yangu akaniibia 580,000 akadhani sitojua, Mimi sikuepo akawaambia wafanyakazi wenzie Waite mganga, Mimi nikasema Nina mchawi wangu anaitwa Camera nimefunga, hakuna mfanyakazi alikua anaijua, nikampata read handed kideoni

Profilbild von J M Said
J M Saidvor 1 Jahr

Mungu ambariki na amfanikishie katika mambo yake

Profilbild von David Chege
David Chegevor 1 Jahr

From self employed to employed

Profilbild von The Critic
The Criticvor 1 Jahr

@Gaspinho15 Asante kwa FUNZO Nimejikuta Machozi yananitoka Kaka! Mungu akubariki Sana!

Profilbild von ๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ
๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎvor 1 Jahr

Ahsante sana Jumapili njema kwako!!

ร„hnliche Videos