Loading video...
Video Failed to Load
Kwa kweli...
11 Comments

Latto ๐1 year ago
Msikilize huyu jamaa alafu uniambie, Hivi kweli, Jamaa sauti anayoongea sasa inafanana na Tundu lisu? Au ni uvivu wa kulima ๐๐ Video kwa Comments ๐

Latto ๐1 year ago
Vipi je Patrick Lumumba wa Kenya

Virgin Brainโก1 year ago
Hapa amepatia melody tu na flow ila sauti halisi no๐

rombo yetu1 year ago
Ananingia anatoka bado hajaweza kutembe a na ufunguo wa tone kama unajua mziki utanielewa

Abbas juma1 year ago
Uvivu wakulima huo

kim xavโ๏ธ1 year ago
Kwa mbaali sana naona Limau linakaribia kuwa chungwa.

MPIGA_KURA1 year ago
Kachemka

Cairo Jeremiah PhD1 year ago
Mwambieni akalime tu aache ujinga

UaTribalChief1 year ago
Kwahio Wasafi ni redio ya chadema๐๐๐, mbona lebo yao ina rangi za chadema...am Just asking,

Peter1 year ago
Hamna kitu

adam woiso1 year ago
Akalime tuu huyo Hana lolote
Related Videos
Ukipata muda sikiliza hii clip.. Tunahitaj ukombozi kwa kweli
SafariMlevi
22,267 views โข 16 days ago
