Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Leo nimecheka sana😂😂😂😂😂😂
155,141 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Daktari Wa Manesi 💉💊1 yıl önce
Kulikuwa kuna ulazima gani wa kumuuliza hilo swali alikiba? Mbona limekaa kiuchochezi sana

Neypaul🤎1 yıl önce
Aaah sio baya

Dullah_theKing🎧1 yıl önce
MFALME anashambulia kwa pasi ndefu sana mithili ya mfumo wa Mpira wa Kijerumani 🤣

Neypaul🤎1 yıl önce
😂😂😂😂😂😂

MELODY1 yıl önce
Naombeni mnieleweshe Ali ana Crown kwenda Cloud imekaaje ?? Ki biashara yaani na wapo kwenye ushindani. 🤔

Neypaul🤎1 yıl önce
Kwanza ni Clouds pili, ameenda kama msanii

Latto 𝕏1 yıl önce
Jamaa karukaaa futi 6😂😂😂

Neypaul🤎1 yıl önce
😂😂😂😂😂

𝐍🥀1 yıl önce
Alikiba hazeeki.

Neypaul🤎1 yıl önce
Yaani🔥🔥🙌
