Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

LIFEโ€ฆ..Sometimes ๐Ÿฅบ๐Ÿ’”

195,184 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Houston
Houstonvor 1 Jahr

Baba alihamia baa na akaamua kuchafua Meza familia akaikataa na Mama.hakua na fedha . Ikamlazimu Mama achape kazi ili tupate mkate wakila siku na kuupata ilikua bahati maana wakati mwingi hakukua na kitu. @FidQ

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

take the journey

Profilbild von iะบัโœจ๏ธ
iะบัโœจ๏ธvor 1 Jahr

Movie kali sana hii๐Ÿ˜‚huyu Dada alimsomesha mwanaume,,alikuwa anafanya juu chin apate pesa ili mpenzi wake asome,,akabebeshwa mimba ,,sasa mpenzi wake akamuahid atakja kumuoa akimaliza masomo. Kamaliza masomo kajipata kaenda kuoa mwanamke mwingine akamuacha huyu anateseka na mtoto๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Ok mwsnaume pia hasomeshwi . Jina la movie HOW WE GOT HERE

Profilbild von .๐” ๐”ฅ๐”ฒ๐”ค๐”ž ๐š”๐”ฆ๐”ซ๐”ค๐Ÿ‘‘
.๐” ๐”ฅ๐”ฒ๐”ค๐”ž ๐š”๐”ฆ๐”ซ๐”ค๐Ÿ‘‘vor 1 Jahr

Situation Kama inakufunza kuwa mwanamke anaweza kuwa na mawazo ambayo kiuhalisia ikiwa ni kwa sisi wanaume unaweza kujinyoga ila wao wana roho ngumu sana wakimwaga machozi imeisha wanachukua hatua kwa wazo litakalo wajia hapo kwa hapo

Profilbild von Robin Hood
Robin Hoodvor 1 Jahr

Single maza?? Sema wanatiaga huruma ila jichanganye kumuoa sasa ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšฎ

Profilbild von Impinge
Impingevor 1 Jahr

Wanaume wenzangu narudia tena wanaume wenzangu....Hikikisha kitu pekee kitakachofanya ushindwe kuhudumia familia yako ni kifo. Hata Mke akiwa miyeyusho achana nae ila hakikisha unahudumia watoto. Tuliopitia hizi life tunajua mama zetu wamepitia mbanga ngumu kiasi gani

Profilbild von BIDEN
BIDENvor 1 Jahr

Aisee...!! Kuna situation sio za kukumbuka kabisa kwenye haya maisha

Profilbild von MASTER PIZO
MASTER PIZOvor 1 Jahr

Ingeishia hapo Roma anaingia ndani anawapa kibunda mama anafurahia na mwanae Ingenoga sana kuliko kuishia movie na kilio tu ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช

Profilbild von MTWARA BOY
MTWARA BOYvor 1 Jahr

Huyu na mimi tofaut jinsia ila mapitio yetu sawa omba mungu kikombe hicho kikuepuke

Profilbild von Boniface Bazil
Boniface Bazilvor 1 Jahr

Kuna wengine 'sometimes' Kuna wengine 'most of the times' Kuna wengine 'all the time' It is what it is, and you can do nothing about it. That's life.

ร„hnliche Videos