正在加载视频...

视频加载失败

LIFE…..Sometimes 🥺💔

195,194 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Houston 的头像
Houston1 年前

Baba alihamia baa na akaamua kuchafua Meza familia akaikataa na Mama.hakua na fedha . Ikamlazimu Mama achape kazi ili tupate mkate wakila siku na kuupata ilikua bahati maana wakati mwingi hakukua na kitu. @FidQ

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

take the journey

iкэ✨️ 的头像
iкэ✨️1 年前

Movie kali sana hii😂huyu Dada alimsomesha mwanaume,,alikuwa anafanya juu chin apate pesa ili mpenzi wake asome,,akabebeshwa mimba ,,sasa mpenzi wake akamuahid atakja kumuoa akimaliza masomo. Kamaliza masomo kajipata kaenda kuoa mwanamke mwingine akamuacha huyu anateseka na mtoto😭😭😭. Ok mwsnaume pia hasomeshwi . Jina la movie HOW WE GOT HERE

.𝔠𝔥𝔲𝔤𝔞 𝚔𝔦𝔫𝔤👑 的头像
.𝔠𝔥𝔲𝔤𝔞 𝚔𝔦𝔫𝔤👑1 年前

Situation Kama inakufunza kuwa mwanamke anaweza kuwa na mawazo ambayo kiuhalisia ikiwa ni kwa sisi wanaume unaweza kujinyoga ila wao wana roho ngumu sana wakimwaga machozi imeisha wanachukua hatua kwa wazo litakalo wajia hapo kwa hapo

Robin Hood 的头像
Robin Hood1 年前

Single maza?? Sema wanatiaga huruma ila jichanganye kumuoa sasa 🚶🚶🚮

Impinge 的头像
Impinge1 年前

Wanaume wenzangu narudia tena wanaume wenzangu....Hikikisha kitu pekee kitakachofanya ushindwe kuhudumia familia yako ni kifo. Hata Mke akiwa miyeyusho achana nae ila hakikisha unahudumia watoto. Tuliopitia hizi life tunajua mama zetu wamepitia mbanga ngumu kiasi gani

BIDEN 的头像
BIDEN1 年前

Aisee...!! Kuna situation sio za kukumbuka kabisa kwenye haya maisha

MASTER PIZO 的头像
MASTER PIZO1 年前

Ingeishia hapo Roma anaingia ndani anawapa kibunda mama anafurahia na mwanae Ingenoga sana kuliko kuishia movie na kilio tu 😪😪😪

MTWARA BOY 的头像
MTWARA BOY1 年前

Huyu na mimi tofaut jinsia ila mapitio yetu sawa omba mungu kikombe hicho kikuepuke

Boniface Bazil 的头像
Boniface Bazil1 年前

Kuna wengine 'sometimes' Kuna wengine 'most of the times' Kuna wengine 'all the time' It is what it is, and you can do nothing about it. That's life.

相关视频