Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

29,355 görüntüleme • 2 ay önce •via X (Twitter)

21 Yorum

Godii profil fotoğrafı
Godii2 ay önce

Kwa style hii joketi atarudi kweli kukuongeza mtaji?😂

SONDA MNO ♈ profil fotoğrafı
SONDA MNO ♈2 ay önce

Hii siku tulikimbia dodoma mjini yote na tulifika mpaka chamwino

AndreaTz profil fotoğrafı
AndreaTz2 ay önce

Haitokea tena mpaka miaka 55 hijayo

Moonfurther 🇹🇿 profil fotoğrafı
Moonfurther 🇹🇿2 ay önce

Kuna ma Rais wakifa wataagwa JNCC 😅😅

john kimaro profil fotoğrafı
john kimaro2 ay önce

Hapa kuna walioumia kwa kifo chake alafu kuna waliofurahi ila sasa kuwajua ndo changamoto. Kitu cha muhimu ishi ukijua kuna kufa, usiwe Mungu mtu au kiburi cha uzima

#MTB🌍, MD profil fotoğrafı
#MTB🌍, MD2 ay önce

Huyu mzee alikuwa ana kijiji chake na hadi leo huwaambii kitu

Mwalimu Nyumba profil fotoğrafı
Mwalimu Nyumba2 ay önce

Hapo vishandu walikua kazini, ukijipindua tu inakua swadakallahu ladhiim

BekaBOY 0.2 profil fotoğrafı
BekaBOY 0.22 ay önce

Watu wanaingia kuangalia Ndege

The Kyejo profil fotoğrafı
The Kyejo2 ay önce

Magufuli alipendwa saana balaaa kuna jopo tuu la watu waliona jau anatuzibia mambo

Fundi Madishi profil fotoğrafı
Fundi Madishi2 ay önce

Naumia mno😭

Naik Al aamry profil fotoğrafı
Naik Al aamry2 ay önce

Mo 29 wangekuwa ivi ss

🐻𝐃ҽ𝐅𝐚𝐭𝐡𝐞𝐫࿐ profil fotoğrafı
🐻𝐃ҽ𝐅𝐚𝐭𝐡𝐞𝐫࿐2 ay önce

🙌

SONDA MNO ♈ profil fotoğrafı
SONDA MNO ♈2 ay önce

Naaaaaam

kupira profil fotoğrafı
kupira2 ay önce

Walikuwa wanataka kwenda na Magu Chato 😂

Gebo Ginimbii profil fotoğrafı
Gebo Ginimbii2 ay önce

LEGEND 🫡🕊

Rama Mobile Hub profil fotoğrafı
Rama Mobile Hub2 ay önce

🔥

Tajiri wa Kitaa profil fotoğrafı
Tajiri wa Kitaa2 ay önce

Hakuna kitu hapa

Bamanyisa Ckriss profil fotoğrafı
Bamanyisa Ckriss2 ay önce

RIP. John Pombe Magufuli My president..

Paul profil fotoğrafı
Paul2 ay önce

❤️

Jay Model profil fotoğrafı
Jay Model2 ay önce

Ninakumbuka mimi hii ilitokea kabla ya AI

EL MAYO profil fotoğrafı
EL MAYO2 ay önce

Alisha kufa huyo na habari zake kwisha

Benzer Videolar