Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

21,559 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Kazi ya uokoaji ni Ngumu.. Na bado watu wapo chini ya Kifusi Kariakoo.. Yule Dogo Majaliwa, alikuwepo na ameumia.. Msikilize mmoja wa waokoaji, kisha umwangalie Majaliwa Video kwa Comments👇

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Hivi nnavyoongea..

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

#Wadhamini Kamata Airtel 5G Router buree leo na uenjoy internet yenye kasi zaidii bila kikomo mwezi mzima. Lipia 110k kwa mwezi mmoja kisha miezi mingine yote 70k. Bonyeza hapa kuwasiliana nasi whatsapp 👇 Tamba Na Airtel 5G.

Profilbild von g14
g14vor 1 Jahr

Zingatia sentensi (code), 'TUNAFANYA KAZI ZA WATU' if u know u know!!

Profilbild von Official@Dr.Eddie

That's military discipline ameshanyooka

Profilbild von Jibe Jr🇹🇿
Jibe Jr🇹🇿vor 1 Jahr

Eti tupo tunafanya kazi za watu 🤣🤣🤣

Profilbild von Sokoine Son
Sokoine Sonvor 1 Jahr

Kaka hili janga la kariakoo linawapa viewers kwel kwel mnatumia mda mwing kurekod kuliko kuokoa

Profilbild von Assenga E kimaro
Assenga E kimarovor 1 Jahr

Uyu dogo ameanza kutuzoea vibaya sana anaongea na sisi anasema ya ya ya wewe kijana 🤔

Profilbild von Jerubaal Xerxes
Jerubaal Xerxesvor 1 Jahr

Dogo hayuko comfortable kabisa.

Profilbild von Michael Bwoma
Michael Bwomavor 1 Jahr

Kopa hazijagusana

Ähnliche Videos