12 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Hivi Gharama ya Kufanya hii huduma ya Kutoa, Wax au kusafisha Sikio Kama alivyofanya Diamond Platnumz ni shingapi? Mahospitalini. Nataka nikasafishe la kwangu, It has been two months, nasikia some movements in my left ear. Angalia alivyosafisha.. Video kwa Comments ๐
1,092 likes

@ZachxPius
Dr Edwin Eljava ENT Faykat Tower, Morocco along Bagamoyo Road
4 likes

@Kyushu_Chiitan
Didn't you see Chiitan's precious bell?
19,235 likes

@elly_friday
Kiswahili bhana eti UNAONAJE SIKIO LAKO??
2 likes

@061Kunta
Unaonaje sikio lako? baada ya unahisije sikio lako? Ata madocta wanatuchanganya wakati mwingine๐
2 likes

@fikiriamara2
Huyu Daktari gani anashangaa eti Duuu Duuu
1 like

@adolphchale
Najinunuliaga pamba za masikioni najisafisha
1 like

@s_a_l_u_m
@joshmateru
1 like

@mamlukaz
Wax unatoa hata kwa home remedy, olive oil, unawarm a little bit, unaweka overnight , ikishalegea inatoka au unakwenda ENT department kuwa cleaned by a syringe. Hiyo sio huko kwenu though.
1 like

@KamalBinMalik
Dkt Edwin Bingwa kabisa ENT
1 like

@jamhurijohn3
70elf

@macdeandy
bilion 2