Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Majirani Mungu anawaona ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

137,749 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Liquidity kenseiโšก
Liquidity kenseiโšกvor 1 Jahr

We dada uko na mtoto mdogo. Ila unajitafutia matatizo. Watu wenyew unaowachokoza unajua hawana UTU. Unaweza kufanya harakati ila in a smart way kusambaza elimu ya NRNE na kujenga hoja. Hichi unachofanya sio harakati kama hujionei huruma ww muonee huruma Mwanao mdogo.

Profilbild von Wanjiru๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
Wanjiru๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชvor 1 Jahr

Mwenendo wa wanaharakati

Profilbild von King Kittah๐Ÿ‡
King Kittah๐Ÿ‡vor 1 Jahr

Sema sometimes tunakulilia ila kuna mda unakua km msng ukiambiwa hili unalo tuma linafaida gani kwa NRE utajibu nn umeaminiwa na taasisi kuwa basi vile taasisi inataman iwe na watu smart sasa wewe na akina Mrema bora nani unaumia watu wa CCM wa kufanya ujinga ila ww unafanya ๐Ÿ’ฏ %

Profilbild von Learner
Learnervor 1 Jahr

Kuwa makini na hizi CLIP za Wakenya, watawala kwasasa damu za watu zimewajaa sana. Wasije kukufuata kwa nguvu

Profilbild von Life_Of_Nobody
Life_Of_Nobodyvor 1 Jahr

Katiba mpya haitokei kwa kufanya hvi Mabadiliko hayahitaji udhalilishaji bali hoja tu Hatupo tayari kuchangishana wala kuanza free hilda kwa mambo yanayoepukika

Profilbild von Ngiri๐Ÿฎ
Ngiri๐Ÿฎvor 1 Jahr

Mimi huu kwangu ni Utoto. Nasimama kwenye upande wa kuitetea haki na democracy ila si kwa njia za uzalilishaji. Tujitahidi tuwe watu wa kujenga hoja na kufanya brainstoming ya mambo. Hichi ulichofanya ni upuuzi na zaidi nasema ni utoto kiwango cha juu. ๐Ÿšฎ

Profilbild von Rasheen
Rasheenvor 1 Jahr

Unataka kutusumbua na hashtag humu mengine yakupite. Kumbuka una mtoto mdogo ushujaa wa mitandaoni punguza

Profilbild von Sezary Alfred
Sezary Alfredvor 1 Jahr

Msikubali kutuma hizi video za uzalishaji hakuna kichoongezwa au kupunguzwa zaidi ya kuendekeza ujinga wa wajinga kua sehemu yetu

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

take the journey

Profilbild von Wanjiru๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
Wanjiru๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชvor 1 Jahr

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Profilbild von Planner๐Ÿ•ตโ€โ™‚๏ธ
Planner๐Ÿ•ตโ€โ™‚๏ธvor 1 Jahr

Hii ndio sababu CDM haina dira kwa kuwa na baadhi ya viongozi wenye maono na kuwa na viande kama wewe..

ร„hnliche Videos