Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

76,899 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Mzee pembelo
Mzee pembelovor 1 Jahr

Nimesikiliza kote ila alipofika hapo "YANADAIWA MADENI MPAKA KWENYE UNYAYO"👐👐👐👐😅😅😅😅😅😅😅

Profilbild von Estadio Deportes
Estadio Deportesvor 1 Jahr

¿CAMBIO DE PLANES? 😶‍🌫️ A pesar de ya haber elegido número, parece que Santi Giménez no podría escogerlo, al menos en Champions. ¿Por qué? Te contamos. 👇 #SantiGiménez #Milán #Champions

Profilbild von Daktari Jamii
Daktari Jamiivor 1 Jahr

Wanachoweza kufanya vizuri ni KUDINDA tu kwa wanaume na wanawake KUKUNJWA tu

Profilbild von ◇
vor 1 Jahr

Uwongo mbaya mi huwa sielewi ni kwanini Babu Tale na Mwana FA eti walipata ubunge, huwa nikifikiria nachoka kabisa!!

Profilbild von Joctan Kuyenga jr
Joctan Kuyenga jrvor 1 Jahr

Yani hapa ndipo shida ilipo, Bunge Letu limejaa Incompetent Idiots. Hovyo kbsa, wanakuja na opinions za Kupimana Ushoga Bungeni 🚮🚮🚮

Profilbild von Zanzibar Huru
Zanzibar Huruvor 1 Jahr

Tatizo hata vyama vya Upinzani, wanapiga suala la elimu kuwa ni vigezo vya kuwa na sifa, Elimu kuanzia Degree ndio kipimo kizuri cha kuwa mbunge, otherwise bunge linakuwa la mipasho na kusifia

Profilbild von Brian ngega
Brian ngegavor 1 Jahr

Ndio mana Mungu aliweka ukomo wa maisha ya mwanadamu hii yote ni kwasababu watu wa zamani wangekuwepo hadi Leo tungezidi kuwa nyuma kimaendeleo shida tuna baadhi ya wazee ni wabishi sana kusikiliza ila ukiwaambia wanasema tunavuruga amani sasa si muachie ngazi wengine waingie.

Profilbild von Mgodi Snr
Mgodi Snrvor 1 Jahr

Konk master😆

Profilbild von Kopites
Kopitesvor 1 Jahr

oya we kenge mwezangu @Sativa255 msikilize kapafoma apa

Profilbild von Nakala ya DijitaliⓂ️
Nakala ya DijitaliⓂ️vor 1 Jahr

😄😄😄

Profilbild von Senior Bachelor
Senior Bachelorvor 1 Jahr

Huyu msukuma ana dharau sana😂😂😂😂

Ähnliche Videos