Loading video...
Video Failed to Load
Mange kasema ukweli 🥺
93,016 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

G 55 na mbowe wao wajichanganye warudi kama utaona kuna mtu atakua na habari nao na huo mchezo wa kutudalalia sisi makapuku wakutupwa tumeshaujua na wahusika wa hiyo michezo sasa wote tumeshawafahamu G 55 na mbowe wao,Zito kabwe na ACT yake na vikaragosi wengine wote tumewajua

Mbowe kakaa ndani muda gani kwa kesi ya ugaidi. Hizi ni pumba

Mbowe hawezi kurudi, na akirudi atakwisha kisiasa mpaka atakuwa kama Lipumba.

take the journey

Mbowe alikaa jail miezi tisa mbona alibaki kuwa mwenyekiti huyo demu some time huwa ni kichaa

Ramli

What fuck so unata kusema chadema ilikua inashirikiana na CCM vipindi vyote vilivyo pita

Ningetamani kumuona mange hapa Tz anakuwa mstari wa mbele kuzungumza jukwaani

Aje yeye agombee uenyekiti

Mwamba katulia kimya ila hawa wengine sasa bado wanaweweseka na kutafuta pa kutokea baada ya kushindwa kuongoza chama. Kila kukicha ni visingizio tu.
