Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Unachezea Moto,! Nimecheka Sana 😀😀
10 Kommentare

# Stones dealer#vor 1 Jahr
Hao waliobakia walivyokausha kama hakuna kilichotokea🤣🤣🤣

maxvor 1 Jahr
Tabia za hovyo kazini zinaleta mazoea ya hovyo,kakata waya kajikuta ni lazima auume na meno😂😂😂,mtoto wangu aliwahi kutia charger ya iphone mdomoni,kuanzia siku hiyo akaacha kutia vitu mdomoni hovyo😂😂😂

spvor 1 Jahr
Huyu boda boda alijua n kabetri ka pikipiki😂😂

HEZRONI IKAYAvor 1 Jahr
Eeeeh

Papii Evaristvor 1 Jahr
Hata unipe laki niangalie bila kucheka siwezi

Matale Msangivor 1 Jahr
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Seifvor 1 Jahr
Hahahaha 🤣

Dclanvor 1 Jahr
Mjinga sana jamaa😂..

iamelcapitanovor 1 Jahr
Ilinikuta hii aiseee

#GWIJI🔴vor 1 Jahr
😀😀
