Maskio yangu au?π³π³π
@Pdizaina0533K followers
28,933 views
42 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@jeju_julius
Wamenikumbush ambali sana muda ukifika kukimbia mchakachaka nilikuwa sipendi πππππ
10 likes

@Pdizaina05
Mchaka mchaka wengi hatukuupendaπ
5 likes

@a_madembwe
Wale wa mabasi ya njano watajua ni maandamano ππ
9 likes

@Alnce31
Walimu walio pita JKT wanawaimbisha nyimbo za hovyo watoto
7 likes

@gmjskisonoko
Anainama, anachuma mboga, anaona raha shemeji yake kula maharagwe...vitoto vya darasa la 3 C
7 likes

@Mkali26Og
Ila ukweli ni kuwa jogging hazina raha bila aina hizi za nyimboπ
6 likes

@Wilbright_jr
Mbona hawajakamatwa wanaandamana hawa
4 likes

@Pdizaina05
Kwa jicho lenu mliyo kuwa mnapanda mabasi ya njano,hawa waandamanajiπ
6 likes

@Wilbright_jr
Si unaona wanavyoandamana hapo kaka

@Pdizaina05
Mi wa kidumu cha maji na ufagio,hapo tunakimbia mchamchaka kaka
1 like

@Wilbright_jr
Polishi hawakuona hili wangewakamata wote

@Pdizaina05
Uzuri Polishi wote ni Kayumba wenzetu so waliona wakajua kama siyo mchakamchaka basi ni chencha
1 like

@kitumbuaaa
Ameinama anachuma mboga anaona raha kula maharageπ€£π€£
2 likes

@NoReformsNoElec
Ndo maana madogo wa sasa wanafirana wadogo sana Nyimbo kama hizi zinahamasisha ushenzi
2 likes

@mshana76
Hao sio G Z ,hao hawana generation
2 likes

@SeekNaturalLife
Zaina zaina zainaa zaina mtoto zaina anaona hayaaa,,, anainama anainuka πππππ
1 like

@THE_MACCABEE_2
ππ
1 like

@Pdizaina05
Kama wale jamaa wa Tanesco π
2 likes

@THE_MACCABEE_2
Na hawana habari ππ

@EmmanuelSelema2
Kwamba Selina kafanyaje?
1 like



















