Loading video...
Video Failed to Load
Mbeya shikamoo 🙌
11 Comments

Extra miles1 year ago
Ndo mana dereva bajaji Mbeya wnajiua, ubunifu unahitajika sana😂😂

Solar Heavy1 year ago
- Know Me

Mox1 year ago
Hii Iringa,wazee wa kupamba Bajaji wanahatari balaa

MWALIMU🙏🇹🇿1 year ago
Haipo mbeya hii mkuu😁😁

~kiss©️anga🇸🇷~1 year ago
Iringa hii

Capa1 year ago
Hii ni Iringa

Simple mind1 year ago
Acha uboya home sweet hapo stone city hiyo, mbeya hiyo kwaiyo. mkia pekee unaoongoza tz nzima kwa kulemba chuma aseeeee. IRINGA TOWN MABEGANI

Basgaloop1 year ago
Hiyo hela ya ku pimp huo upuuzi si angeweka full tank akapiga kazi apige pesa zaidi....

MzeeWaRongo 🥑1 year ago
Barabara mbili hii “Dirty South Don”🙌🏿

ZIP🇹🇿1 year ago
Ata wamakonde hawawezi kufanya hivi

Jizzle1 year ago
Marhaba
