ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

Mchome leo kasema ukweli mtupuโ€ฆ..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

64,502 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 2 ๅนดๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

61 ๆก่ฏ„่ฎบ

ู…ุญู…ุฏ ุฑุดูŠุฑ ็š„ๅคดๅƒ
ู…ุญู…ุฏ ุฑุดูŠุฑ2 ๅนดๅ‰

Simba jobless wananunua tiketi Yanga wana kazi zao mjini wanasubiri fungulia dog Hayo ndo maajabu ya hii nchi ๐Ÿ˜‚

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

@chinedudp ๐Ÿ˜ƒ

&โ‚ฌ()ยก&โ‚ฌ. '/7_ ็š„ๅคดๅƒ
&โ‚ฌ()ยก&โ‚ฌ. '/7_2 ๅนดๅ‰

pesa za tiketi wanapata wapi kama hawana kazi kama 5,000/=.Shabiki wa yanga element kwenye soda ya 10,000/= anafikaje mbona anaongea pumba au tunasubilia tiketi za bure ndio tukajazane uwanjani kama yanga. SIMBA hatupendi vya bure yanga vya bule ndio michezo yao. UBAYA UBWELA

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜‚

&โ‚ฌ()ยก&โ‚ฌ. '/7_ ็š„ๅคดๅƒ
&โ‚ฌ()ยก&โ‚ฌ. '/7_2 ๅนดๅ‰

au nimedanganya umati

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

Mimi sijajua ila ngoja wengine waje waseme

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

Mbona ugomvi sasa๐Ÿ˜ƒ

Geronimo Pratt ็š„ๅคดๅƒ
Geronimo Pratt2 ๅนดๅ‰

@mee_nicodemus Watu wajinga bongo ndo upewa umaarufu

Geronimo Pratt ็š„ๅคดๅƒ
Geronimo Pratt2 ๅนดๅ‰

@mee_nicodemus Hata siasa si unaona zinakimbiliwa na watu flani hivi wengi amnazo ilimradi ujue kupepeta Mdomo

Marx ็š„ๅคดๅƒ
Marx2 ๅนดๅ‰

Hizi mambo muwe mnapost Facebook huko, waungwana wa X wote ni simba. Sas cjui unatak nn mzee

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

Hujalazimishwa ku-comment au kupitia hii poat mkuu

Marx ็š„ๅคดๅƒ
Marx2 ๅนดๅ‰

Easy bro, am kidding ๐Ÿ˜‚

Mkoghoti๐ŸŒน ็š„ๅคดๅƒ
Mkoghoti๐ŸŒน2 ๅนดๅ‰

@NGiyabhe ubaya ubwela anawaua wenzake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ @rahma_hassani udugu umala ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Macarios Cymone ็š„ๅคดๅƒ
Macarios Cymone2 ๅนดๅ‰

This guy is clueless. Three quarters ya mashabiki wa Yanga ninaowafahamu mimi kama mimi ni jobless and sioni kama ni kosa lao but na kwenda uwanjani hawaendi..

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

sawa mkuu

LemmeEmKnow ็š„ๅคดๅƒ
LemmeEmKnow2 ๅนดๅ‰

Jobless wa Simba wanafedha mpaka wanajaza uwanja full house. Yeye mkomaa sura ana nini ๐Ÿ˜‚

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜ƒ

Emmanuel Juma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ็š„ๅคดๅƒ
Emmanuel Juma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2 ๅนดๅ‰

Mwamba ana fact nyingi sana ๐Ÿ˜‚

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

kabisa๐Ÿ˜ƒ

@bin Abdul ็š„ๅคดๅƒ
@bin Abdul2 ๅนดๅ‰

Anadhalilisha watu wafupi wanaonekana wote hawana akili

robby ็š„ๅคดๅƒ
robby2 ๅนดๅ‰

Jobless anabeba familia kwenda Taifa akaangalie mechi ambayo ina kiingilio, na jezi za elfu 40 familia inakuwa imezivaa. Mbona Jobless mimi hata nauli tu ya kufika taifa nakosa achilia mbali kiingilio??

isaya fatibagwe ็š„ๅคดๅƒ
isaya fatibagwe2 ๅนดๅ‰

We jamaa ungekuwa na kazi si ungenyoa nywele. Buku tu ya kunyoa huna alafu unasema jobles, mada ya faka wew

Samm45๐Ÿ™ƒ ็š„ๅคดๅƒ
Samm45๐Ÿ™ƒ2 ๅนดๅ‰

Huyu jamaa ipo siku atawekwa kwenye 18 za wanasimba nadhani toka hapo atakaa kimya.

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜‚

dovoju ็š„ๅคดๅƒ
dovoju2 ๅนดๅ‰

Kwaiyo anahamasisha mashabik wa Yanga wasiende kuangalia Mpira wakafanye stare nyingine

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

sijui sasa

ANKO66โ„ข ็š„ๅคดๅƒ
ANKO66โ„ข2 ๅนดๅ‰

Kwahiyo Jamaa kaamua kupiga contents kutumia simba sio

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜ƒ

Enzo ็š„ๅคดๅƒ
Enzo2 ๅนดๅ‰

Simba ina followers wengi kuliko Yanga Kwenye Mitandaoni yote, wengi kuliko Yanga.vep na hawa followers ni ma jobless

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

sijui ๐Ÿ˜ƒ

Bozziem 7 ็š„ๅคดๅƒ
Bozziem 72 ๅนดๅ‰

Hata kama ni jobless ila wanatumua hela zao ila yanga sasa wanafungulia dog

Digital Plug ็š„ๅคดๅƒ
Digital Plug2 ๅนดๅ‰

To be honest huyu hajawah ongea jema Lolote kuhusu simba Muda wowote lazima awe negative haoni kizuri kwa simba chochote huyu sio mpenda soka kabisa

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜ƒ

Digital Plug ็š„ๅคดๅƒ
Digital Plug2 ๅนดๅ‰

Jamaa anatuchukia kinouma hata tushinde makombe atasema tumehonga ๐Ÿ™Œ

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

kila siku yupo na jipya๐Ÿ˜ƒ

Digital Plug ็š„ๅคดๅƒ
Digital Plug2 ๅนดๅ‰

Sas mechi ya simba day utaskia maneno Yake๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜‚

mzururajonpoint ็š„ๅคดๅƒ
mzururajonpoint2 ๅนดๅ‰

Pointless

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

sawa

Chadea Samhenda Jr ็š„ๅคดๅƒ
Chadea Samhenda Jr2 ๅนดๅ‰

Matako ya Mama yake na Mkundu wake huyu jamaa! Mwambie Content haitafutwi ivyo! Mada faka

mtitojr ็š„ๅคดๅƒ
mtitojr2 ๅนดๅ‰

Acha upuuzi mbwa ww

Ba J ็š„ๅคดๅƒ
Ba J2 ๅนดๅ‰

Kubwa jinga

Fimbo ya Mussa ็š„ๅคดๅƒ
Fimbo ya Mussa2 ๅนดๅ‰

Jamaa ajichunge sana

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

@Bin_Assadi ๐Ÿ˜‚

kabadii ็š„ๅคดๅƒ
kabadii2 ๅนดๅ‰

Kumbe kuliwa wanaliwa wengi... one of them ni huyu!

Ambajo SNr. ็š„ๅคดๅƒ
Ambajo SNr.2 ๅนดๅ‰

Huyu si ndo anajifanyaga shabiki wa Simba ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† .anavaa jersey

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜ƒ

Barnabas ็š„ๅคดๅƒ
Barnabas2 ๅนดๅ‰

Kwa hiyo wale walio kwenda kunjwa supu wote wame ajiriwa na gsm ndio una cho taka kusema au sija kuelewa vezuri

F O N S O ็š„ๅคดๅƒ
F O N S O2 ๅนดๅ‰

Huyu anaitafuta kazi ya usemaji Yanga kwa nguvu sana

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

Ataipata Manara akifungiwa tena๐Ÿ˜ƒ

F O N S O ็š„ๅคดๅƒ
F O N S O2 ๅนดๅ‰

aongeze juhudi

Charles Msisi ็š„ๅคดๅƒ
Charles Msisi2 ๅนดๅ‰

Ngoja tumuweke kipolo acha tuisave hii

Eng Alen Singano ็š„ๅคดๅƒ
Eng Alen Singano2 ๅนดๅ‰

Huyo mchunguzen hata D moja hana mbumaba tu walipata wapi pesa kamw haeafanyi kazi

HAKI KWANZA ็š„ๅคดๅƒ
HAKI KWANZA2 ๅนดๅ‰

Only Fools, Fools themselves when nothing to Fool you. So keep Fooling yourself you Foolish.

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

sawa

Mtoga peru ็š„ๅคดๅƒ
Mtoga peru2 ๅนดๅ‰

Huyu ni boya kama wenzake tu,

Mwakulila (Zaburi 35&109) ็š„ๅคดๅƒ
Mwakulila (Zaburi 35&109)2 ๅนดๅ‰

Mpuuzi huyu

M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€ ็š„ๅคดๅƒ
M ฤ˜ C K I ฤ˜ ๎จ€2 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜‚

ยฅ ็š„ๅคดๅƒ
ยฅ2 ๅนดๅ‰

Jamaa anaongea kitu ambacho hakipo kama ni jobless ticket wanakataje na familia zao pesa wanatoa wap

LION HEART ็š„ๅคดๅƒ
LION HEART2 ๅนดๅ‰

Wazee wa kwenda kwenye supu za bule ndio wanakazi

Express Solution Co.Ltd ็š„ๅคดๅƒ
Express Solution Co.Ltd2 ๅนดๅ‰

Haters

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘