Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mdogomdogo tutafika tu!
37,439 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Mh Msigwa hebu tupe link ya hii interview tukawajue vzr walamba asali ili tutakapokuwa tunawaadhibu tuwaadhibu kwa haki.

Ila bn kiukweli UKUBWA WA AKILI ZA MSIGWA NA UWEZO WALE WA KUFIKIR sidhan kama ccm hii inaweza kuendelea kumlea azidi kuwa Bora. Binafsi siamin kua Msigwa kuwa CCM yuko Sehemu sahihi. Aliyefanya uhun wa kumtoa Msigwa CDM Mungu hatamwacha salama. Et saiv yupo NTOBI😃😃😃. Aaaiseee

Nadhani hapo baada ya hicho kikao, baada ya Lissu kuwapika vizuri, yule alitoa mafile yale kwa Lissu akawa target yao. Kiuhalisia yule mzee hakustahili kuuwawa kikatili vile maana hakuwa mtu maarufu wala wa kutoka public, kulikuwa na issue confidential ambayo alivujisha.

does this song fit Miami

Nisamehe MSIGWA sirudii tenaa nilidaganywaa

Mchungaji tupo pamoja sana, sisi hatukudai ngoja tuendelee kupambana na haya MATAPELI ndani ya @ChademaTz

Apa naanza kuunganisha dotis..na lisu alisema video za kikao zilirekodiwa na kama vipi zitolewe, kumbe hao watu wanazigomea kuepuka kuumbuka

Aisee hapa #FaruJohn mbowe kazi anayo Mzee @MsigwaPeter endelea kufungua mafaili

Msigwa sikusamehe kwa kuwa umeenda CCM. Ila nimecheka kama mazuri. @freemanmbowetz unaitwa huku!

Unajulikana wewe ni muongo ulisha chukua pesa siku nyingi👇
Ähnliche Videos
Sensitive content
Tu criitiiques… tu cwiitik
nosiiila
29,797 Aufrufe • vor 2 Jahren
