Loading video...
Video Failed to Load
Mnawatoaga wapi wa hivi?
26,857 views โข 12 days ago โขvia X (Twitter)
25 Comments

Hao wanaigiza, Mwanamke Mwenye Bleach toka lin akawa mke Bora

Dah

Kwa hizo Nywele za Pacomeโฆ lazima katoka Kulombewa huyo๐คฃ

Hee ๐๐๐

Nikiona tapeli namjua

Bro una ela wewe ebu filisika ndo iyo rangi ya Blichi utaiona vizuri ๐

Kuna alhamdulillah afu kuna asante yesu.. anyway jumapili mubarak

maigizo ayo nyama ten ashindwe kununua ndinga aendi shell

Kwa hizo brichi kichwani huoni kama ni maigizo mkuu??

It's just a performance and mf is playing along

Bongo movie๐๐

Mara, Tanzania

Content creator

wanawake kama wewe wamebaki wawili tu.

Love is so sweet when camera is on

๐๐sheeeeenzi

Saiv kila mtu tapeli ogopa camera

Demu akini ektia hivi namuacha ๐

Maigizo hayo watu wapo kazin

Dah

Hawa kiuharisia ni wale wanaotaka kuonekana kwenye social media lkn Hawa ndo watu wabaya sana usivutiwe na watu wa social media matatizo Yao ambayo huyaoni face to face wanachagua Cha kupost jiulize

๐

Anajuwa anachokifanya huyo demu, jamaa siku sio nyingi atatoa milio tusikilizie ๐

๐๐๐

Kumbe wanashoot
