Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Mshua master anawasalimia!…💪🏻

32,255 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

20 Kommentare

Profilbild von The Lion
The Lionvor 1 Jahr

Jamaa kapona mguu nn anamzuka kuliko tulioko uraiani Kweli kifungo au uhuru wa mtu uko kwenye akili

Profilbild von Comrade93.
Comrade93.vor 1 Jahr

Huyu muungwana akili yake ni zaidi ya Almasi.🙌🙌🙌

Profilbild von WilliamMM
WilliamMMvor 1 Jahr

Leo kuna shahidi atakimbia mahakamani

Profilbild von Mteule
Mteulevor 1 Jahr

Vibe kama yuko huru!

Profilbild von Deus Pascal
Deus Pascalvor 1 Jahr

Najisikia furaha sana nikimuona Lisu. Mungu liponye taifa letu

Profilbild von Robinson Shoo
Robinson Shoovor 1 Jahr

Mwamba kabisa🦾

Profilbild von Mr Songwe📌📌📌
Mr Songwe📌📌📌vor 1 Jahr

Simbaaa la masimbaa

Profilbild von Namanyere
Namanyerevor 1 Jahr

Mungu ni mwema sana asee mpaka raha

Profilbild von Ras,nchimbi
Ras,nchimbivor 1 Jahr

HAKI ITASIMAMA 🙏🏿 👇🏿 #KATIBAMPYANISASA! ndiyo pekee itayoleta muafaka wa kitaifa,mengine yote porojo tu.✍️🏿

Profilbild von Kwembe
Kwembevor 1 Jahr

Anaonekana mwenye mstumaini makubwa mno, Mungu wetu ni mwema sana

Profilbild von Alex Mbwaga
Alex Mbwagavor 1 Jahr

chuma la machuma

Profilbild von 𝐑 𝐚 𝐝 𝐢 𝐮 𝐬
𝐑 𝐚 𝐝 𝐢 𝐮 𝐬vor 1 Jahr

Jembe letu✌️

Profilbild von George Mujwahuzi ⚖️
George Mujwahuzi ⚖️vor 1 Jahr

Mr Chairman 🔥🔥🔥

Profilbild von Prince 24🤴
Prince 24🤴vor 1 Jahr

Nimefurahi kumuona

Profilbild von VOICE OF JONAH FROM NINAWI
VOICE OF JONAH FROM NINAWIvor 1 Jahr

THE DAY IS COME SOLDIERS WILL SALUTE ON YOU AND ALL CITIZEN WILL SHOUT IF COULD BE NOT YOUR EFFORT LISU AND ALL CHURCHES WILL SING HAREELLUYA

Profilbild von Doctor Upupu.
Doctor Upupu.vor 1 Jahr

Mshua bado energy ipo juu 🥇

Profilbild von Msakatonge
Msakatongevor 1 Jahr

Kaingia na mzuka wa kutosha

Profilbild von Kamau
Kamauvor 1 Jahr

One day yas

Profilbild von zunguwao
zunguwaovor 1 Jahr

Mwezi mchanga naona kichaa kimeanza

Profilbild von KINANGE BoY
KINANGE BoYvor 1 Jahr

💪🏾

Ähnliche Videos