Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Msikilize....
10,505 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Comedian, Shafii Amesema kuwa ametishiwa maisha kutokana na Contents zake za ku-Dm watu huku akiwa anachekesha. Hajataja aliyemtishia maisha.. Video za mara ya mwisho kufanya hivyo ni ya Zaiylissa na Haji manara.. Sikiliza alichochekesha.. Video kwa Comments 👇

Alichopost...

Ya Zaiylissa

Ya Manara aliyoifanya Jana usiku

Kwani hamna group nyie wasanii wa nchi hii mmkayaongelea huko?, km mmna group lenu la wasanii si lazima na msanii namba mmoja hapa nnchini @SuluhuSamia mmtakua nae kwenye group hilo 🤪🤪, nendeni mmkayajenge huko 🤪🤪, vichwa miviringo wte nyie.

Mtoto choko huyu hizi tabia zinapatikana dar tuu

- Know Me

Apan bro wew unafanya kazi zako ishu kubwa hapo nimajina tu usimtaje mtu bro me nakukubar sana machainizi🤣 mchawi mkubwa 🤣🤣🤣

Usimtanie mtu ambaye Hana utani na wewe.Simple

mtanie na dingi yako. Uangalie na muktadha wa utani

Kwa huo ujinga hata mimi ningemchimba biti
