Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Msikilize alietekwa 20.2 (JUZI).

171,995 views • 1 year ago •via X (Twitter)

10 Comments

clementc's profile picture
clementc1 year ago

Tulikuwa tushampoteza ndugu yetu uyu kama sio kuonekana au kubuma kwa tukio lile la utekaji. Ona Polisi walivojitokeza na kusema alikuwa anajihusisha na matukio ya uhalifu kwa kutumia pikipiki isiyo na namba. Ana bahati kubwa sana uyu ndugu yetu. Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda aishi sana🙏🙏❤.

SATIVA17's profile picture
SATIVA171 year ago

Awe tuu makini. Naogopa ya CHAULA.

kaka OJ's profile picture
kaka OJ1 year ago

Kwanza kwanini wamfate na gari ambayo sio ya police ?? Jamaa kapona sababu ya kelele za wananchi

lady_Vee💜's profile picture
lady_Vee💜1 year ago

Nataman siku moja wajichanganye Kwa mtu mwenye pipe ama Beto vifumuliwe

PaYRoLL🪙's profile picture
PaYRoLL🪙1 year ago

Samia akisimama kwenye Podiums ana kazi ya kupongeza polisi kwa kazi nzuri. Viongozi wabinafsi sana

Rais wa Wapwa🇹🇿's profile picture
Rais wa Wapwa🇹🇿1 year ago

Maelezo ya polisi na maelezo ya muhusika 😂

MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸's profile picture
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸1 year ago

Tukio lisinge recodiwa hawa Polisi Hio pikipiki WANGEICHUKUA na huyo dogo wangemuuwa

@mzigaba_Og's profile picture
@mzigaba_Og1 year ago

Tz hii😱 pikipiki kutokuwa na plate number inabidi mtu akamatwe na gari private na maaskari wasio trafiki na wakiwa bila sare na wakiwa na silaha za moto tena kwa nguvu kubwa hivo🙄🙄 mmh huyu hakupaswa hata kupelekwa hata kituoni nahisi ni kwa video iliyosambaa na watu kusemea🤔

Amani Mlele's profile picture
Amani Mlele1 year ago

Huyo ndio wakushughilikiwa sasa yaani mmempiga mtu barabarani na kituoni tena mnaanza kumpiga na machepe na mbao tena haki za binadamu zipo wapi ndio jinsi jeshi la polisi linavyotenda kazi hivyo kama sio uhuni ni nini huo.

Gubuka's profile picture
Gubuka1 year ago

Tulisema polisi ndo wanateka watu halafu IGP bado yuko ofsn