Loading video...
Video Failed to Load
Msikilize kwa makini IPM🫱
19,900 views • 4 months ago •via X (Twitter)
26 Comments

Wenzakee Wamemzidii ketee ameamua kutoboa siri

Chamsingi ifanywe bila phd ya theolojia mtu asifungue kanisa au msikiti. Maana uwongo utakuepo tu . Wengi mtakataa hili maana wachungaji wenu na mashekhe hawajasoma.

@GoodluckMalekoJ Anawachoma wenzake🤣

akiwemo yeye pia

😂

Na wewe una perform zako, ndio maana mm nawaambia watu makanisa ya kwl ni yale chini ya CCT yani yale makongwe, Anglican, Roman Catholic, Lutheran, ACT, Moravian, wengine wte ni takataka na wapuuzi kbs.m, kazi kwenu waumini wapumbafu.

Anamwaga mtama.

😂😂😂

Mpe mkolofya aache kamdomo

Serikali haiwezi ingilia Dini Iła mwanadamu alipiwe akili 😁

mwampopo😂

Amejuaje ?

Nilikwambia huyu mtu alikuja kwaajili ya kuuchafua ukristo watu wanabisha but ipo siku mtanielewa

Hata mimi daktari siwezi

Kwenye baadhi naunga mkono hoja mfano nabii bendera yeye nimchawi halisi

Mchawi niyeye amepataje takwim na kama ameriski maisha yake na yupo tayari awataje waliologa washirika mganga njaa

Mbaka comedian wana makanisa kweli

@mwamposalive

Ishu ata izo wizara ni corrupt tu na zita lenga zile tu Ambazo azi fati maagizo

Amejuaje ?

Huu ndio ukweli watu wengi hawautaki

🫵

Ukwel ukwel ukwel

Yeye pia ni mchawi

Sahihi

Hii ni kweli
