Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Mtamaaaaaaaaaaaaaaa๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

20,986 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von mussa Elias
mussa Eliasvor 1 Jahr

Another 5 years of extremely poverty for Mtama people๐Ÿ˜‚

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

- All I Knew

Profilbild von Eng.Kaushibe
Eng.Kaushibevor 1 Jahr

Kwani wananchi wa Mtama wote wanavazi la CCM?, maana mikutano ya CDM sioni rangi rangi, "Wamwiduka Band - Kilingeni".

Profilbild von milo itogoro-2025
milo itogoro-2025vor 1 Jahr

Kumbe hii ndio nguvu ya ccm Ndio mana wanakuwa na jeuri sana

Profilbild von DON MINJA
DON MINJAvor 1 Jahr

Ngoja uone @ACTwazalendo jinsi watakavyokunyoosha kumbuka bado wanataka kumuenzi Kachero Mbobefu B.K.Membe Uganda wa kusini @AdoShaibu @SemuDorothy @Ndolezi_Petro @juliusmassabo @Mbaralagande Kwa heshima na Taadhima kamyoosheni huyu Boya kwani hata @ccm_tanzania hawamtaki

Profilbild von Zastan Sound
Zastan Soundvor 1 Jahr

Naona kijani tupu. Kwani wananchi wakawaida tofauti na wanachama wanakuwaga wapi?

Profilbild von Robert Ng'wala
Robert Ng'walavor 1 Jahr

Mmetumia Malory mangapi mheshimiwa kuwasomba hao binadam? Nasikia mtama wote wamekubaliana kwamba #NoReformsNoElection

Profilbild von ULIZA DEUSOKA
ULIZA DEUSOKAvor 1 Jahr

Na uchaguzi huru utaki, Unafanya UHAINI upite bila kupingwa.

Profilbild von wabangaizaji
wabangaizajivor 1 Jahr

Mzee wakuiba kura usihangaike nawiz wakura chadema tumejiondoa

Profilbild von James
Jamesvor 1 Jahr

Hamna vibe, washiriki wamepewa sare, watu sio wengi kivile ukilinganisha na mkusanyiko wa cdm. Kuna kazi kubwa ya kufanya. Una haki ya kuwa na hofu

Profilbild von Kings_st0re_๏ฃฟ
Kings_st0re_๏ฃฟvor 1 Jahr

Hapa kila kichwa kinaondoka na Bei gan Muheshimiwa!?

ร„hnliche Videos