Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

148,531 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Odhiambo Cairo
Odhiambo Cairovor 1 Jahr

Huyu mtumishi kasema kinachotakiwa kuhubiriwa na kila mTanzania. Ukweli usioegemea. Lakini ccm watatafuta sababu za hovyo kukwepa. Oohh muda hautoshi mara amani na ujinga mwingi.

Profilbild von Mr.Adventure
Mr.Adventurevor 1 Jahr

Father Pisa...very smart and humble man wale wa St.Augustine university wanamfahamu vizuri

Profilbild von Mathias Sadock
Mathias Sadockvor 1 Jahr

Mabadilik ni muhimu

Profilbild von Gmmytz🇹🇿
Gmmytz🇹🇿vor 1 Jahr

Tasisi zoote za dini na viongozi wake waliochaguliwa na watu kwa nguvu ya Mungu hawezi kupata usingizi hata Kidogo wakt taifa linaharibiw na watu wanaojifanya wao ndo wenye nchi bila kujua nchi ni ya wananchi..! makanisa yote tz yawahamasishe waumin kutoshiriki uchafuzi

Profilbild von Gambo Jr.
Gambo Jr.vor 1 Jahr

Nimempenda sana huyu askofu ....very proud of you mtu wa Mungu. Tanzania ifike mahali watumishi wa Mungu wawe wakweli na wahaki. Midomo yao ihubiri ukweli na haki siku zote ...tutafika tu!

Profilbild von MR +
MR +vor 1 Jahr

Siburi BAKWATA Sasa 🙂🙂🙂Tutakuwa na Dua ya kumwombea bimkubwa afya njema

Profilbild von Inspecta
Inspectavor 1 Jahr

Kama wanaona aibu kumuachia waturuhusu tukamuchukue wenyewe alafu tumtembeze road kama shujaa

Profilbild von Nzalang Nacional Wanabies
Nzalang Nacional Wanabiesvor 1 Jahr

ROMA LACUTA FINITO🔥🔥🔥🔥

Profilbild von Bwoi sama
Bwoi samavor 1 Jahr

Hii nchi inabidi tuikombee tena ✌️🔥

Profilbild von Baba Vickram Aditya Bedi
Baba Vickram Aditya Bedivor 1 Jahr

The legacy and descendants of Baba Guru Nanak Dev Ji, by Baba Vickram Aditya Bedi Click on the link below:

Profilbild von jackson
jacksonvor 1 Jahr

Kila mtu niwakati wakuisikiliza dhamira yake nakuamua kulingana na dhamirayake bila woga bila unafiki

Ähnliche Videos