Navigation überspringen
Mungu akubariki sana.
0:00 / 5:52

Mungu akubariki sana.

Godbless E.J. Lema

@godbless_lema1,3 Mio. Follower

Auf X besuchen
1.364 LikesHerunterladenOriginalbeitrag

29.895 Aufrufe

Mungu akubariki sana.

20 Kommentare

Kommentare aus dem Originalbeitrag auf X (Twitter)

  • Profilbild von Lbato

    @Lbato3Lbato

    Atajibiwa na masheikh wa bakwata..

    17 Likes

  • Profilbild von Amanitz

    @Amaniaman1980

    Kuna watu kukalia kimya ujinga hawawezi na Askofu kitima ni miongoni mwao mungu ambariki sana. CCM imetugeuka watanzania kimekuwa chama hatari kwa uhai wa binadamu, siku hizi maraika mtoa roho amewachia hiyo kazi CCM😁.

    17 Likes

  • Profilbild von chrisostom

    @Chr74292Senator

    umasikini mbaya zaidi ni umasikini wa fikra kwakweli

    9 Likes

  • Profilbild von Tata Joe

    @K255Leo

    Si umeona juzi eti wamemtuma mtu wao aje awaambie kuwa ile 80+% difference kati ya planned budget na contractual budget ni ongezeko linalotokana na maboresho ya CAF! Au wanadhani watu hawajui namna CAG anafanya kazi? Hawana economic focus! Kama wanayo wawaoneshe! Period

    5 Likes

  • Profilbild von KOB JEI 🇹🇿

    @mbuligwe_j32381

    huyu shida yake anaongea ukwel ambao serikali haitaki kbsa

    4 Likes

  • Profilbild von El Conde

    @Available8r

    @FrankMtey Phd holder

    3 Likes

  • Profilbild von Tondoro

    @marora_86

    Nimesikiliza zaid ya mara 3

    3 Likes

  • Profilbild von Sharad Saksena

    @sharadsaksena8

    Sema babaaa🙌

    1 Like

  • Profilbild von Mchumi

    @mchumi12

    Aseeee.....

    1 Like

  • Profilbild von Beda

    @Beda45663056

    @WamburaSamwel6 🔥🔥🔥

    1 Like

  • Profilbild von msologo

    @msologo13

    Daaah roho inauma sana

  • Profilbild von sunuka!

    @GuzuraG83056

    Hii ndio tofauti ya PhD za offer, na PhD za thesis.

  • Profilbild von woodworks

    @peter_rich48872

    Hawa ndio ma presidential nominee sasa.......

  • Profilbild von Nelson

    @NellyB52

    Madalali nyote

  • Profilbild von W26

    @WarrenTz26

    @MwatuwiliYoel Kama Taifa ukisoma kirabu ya Isaya, Jeremiah na Ezekiel tuko wakati mbaya sana na tusipokuwa makini tutarudi utumeabi kama ulivyokuwa Kwa wazawa wa Yakobo

  • Profilbild von goba

    @goba02218264807

    Kitima ubarikiwe wanaokuchukia na walaaniwe milele

  • Profilbild von George Munic Jr

    @GeorgeMunisi3

    Huu ndiyo ukweli taifa linaongozi na viongozi ambao ni wapumbavu na wajinga tena wenye upeo mdogo katika kufikiri pamoja kuwa na utambuzi wakupambanua mambo kwa maslahi mapana ya taifa, ni ukweli mtupu serikali iliyopo madarakani inaongozwa na watu ambao ni wapuuzi na wajinga.

  • Profilbild von mdau

    @de_medy

    Wewe huyo unakula huku na huku . Kwa msoga unakula ,chadema unakula na kwa wanaharakati unakula

  • Profilbild von J 28

    @JosephatNz60200

    Umenyoosha sana baba

  • Profilbild von jovian

    @idetemyaa

    Yaani jamaa ana akili kubwa sana sisiem hawawezi kuja na majibu zaidi ya vitisho