Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mwabukusi 🧠
32,538 Aufrufe • vor 1 Monat •via X (Twitter)
15 Kommentare

Shida watu wavivu kusoma details tunadeal na headline

Sahihi

Alafu wanaosema amehongwa wako nje ya nchi, ni ujinga si waje

Akili kumkichwa

Ana hoja asikilizwe

Noma

Ko nisimsikilize huyu ety nikubaliane na mamge?

Kama hakuna uwajibikaji na transparency basi tubakie hivi hivi tu

Kwa nini tuandike tena Katiba upya wakati tunayo Katiba Pendekezwa ya Warioba? Walizunguka nchi nzima, walikaa na makundi yote, walifanya mikutano na campaign, imebeba kila malalamiko watanganyika walonayo, so why tunahitaji muda tena kujipanga? Yaleyale matamshi ya CCM

Big brain gaffer

Mbona kama hajanyooka

Sio kila upele ni wakukuna ..

Anajua boli

Sasa ni lini ilo bunge litakosa majority wengi wa ccm

Kashajua kwanini kanisa lilisitisha mchakato na kumpiga kikongwe
