Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

MWENYEKITI WANGU MIMI.✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾

29,584 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Freedom
Freedom1 год назад

Kaka nikipata pesa nitaomba nikurudishie laki 5 kwenye ile 1.5M ya fomu uliyomlipia ili tuonekane wote tulishow love kwa chair

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

take the journey

Фото профиля @macthingo_
@macthingo_1 год назад

Huyu Jamaa ni mwenyekiti, mwenye vistuli, meza na furniture zote ndani ya nyumba/ofisini......kabla hajaingia hapo nilikuwa namuonea huruma atakuwa kwenye hali gani, ila kwa hiyo vibe ameingia nayo, sasa nawahurumia waliomshtaki......LISU NI MMOJA TU.

Фото профиля Sarwatt
Sarwatt1 год назад

Haaaaa SATIVA WE NDO UMELATA HII SHIDA YOTE UMEMLIPIA FOMU asante Sana Una Nafasi yako kwenye ukombozi WA Nchii hii

Фото профиля Otenga
Otenga1 год назад

Sativa am with you in this till end. Keep the catch, looking upto you.

Фото профиля TEMBAA💰
TEMBAA💰1 год назад

imefika hatua wasomi wanatafta mbinu za kutuibia sasa hamna hela nchi ngumu sanaaaa 😂

Фото профиля Leo X
Leo X1 год назад

This My President👊🏾👊🏾

Фото профиля 14
141 год назад

Kidogo leo nitakuwa na siku njema na yenye matumaini zaidi ya juzi na jana,nimemuona T.A.L✊️✌️

Фото профиля GeN z Tz 🇹🇿
GeN z Tz 🇹🇿1 год назад

Sajawahi ona @Sativa255 kabet upande wake ukashindwa labda ianze leo

Фото профиля Dick Temu
Dick Temu1 год назад

weeee ATA MIMI.✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌

Фото профиля loveismyreligion
loveismyreligion1 год назад

NO REFORM NO ELECTION

Похожие видео