Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

20,658 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

9 Comments

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Huawei wanakuja na Simu yao mpya ya Huawei Mate 70, Ambayo inatumia OS ya Harmony OS, ambayo ni Faster kushinda Android.. Jana wameonyesha Feature za simu hiyo ambapo itakuwezesha kutuma Picha na Video kwa Mkono ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ Angalia Maajabu yake... Video kwa Comments๐Ÿ‘‡

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Huyu hapa mwamba akijaribu Feature iyo ya Operating system ya Harmony Os

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Namna inavyotuma kwenye vifaa tofauti vya Hawei.. ๐ŸŽฅ Swahili.tek

Stevenson's profile picture
Stevenson1 year ago

@TweetHelperBot download this

T!mBU's profile picture
T!mBU1 year ago

kubababeki

๐‘ป๐’Š๐’•๐’‰๐’ ๐‘ด๐’‰๐’‚๐’ˆ๐’‚๐’Ž๐’‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
๐‘ป๐’Š๐’•๐’‰๐’ ๐‘ด๐’‰๐’‚๐’ˆ๐’‚๐’Ž๐’‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1 year ago

Hatal

Eng.Shaban.'s profile picture
Eng.Shaban.1 year ago

mbn hatar sasa

Nobati peter's profile picture
Nobati peter1 year ago

Noma sana

Mtoto Wa Mkulima's profile picture
Mtoto Wa Mkulima1 year ago

Je, Ukiwa Na Huawei Kama Hiyo, Utaeza Tuma Hiyo Picha Kwenda ANdroid/iOS Kwa Mkono????

Related Videos